Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Kama wewe ni mwanaume watakuwa wanakupakua
 
Noted...[emoji3578][emoji3578]
 
Noted...[emoji3578]

Ngoja nikazie kuhusu wanawake...[emoji116]

All women are devils. Only your mother might be good to you, But she is still a devil to your father.
 
Nakusanya madini...

Noted..[emoji3578][emoji3578]

Mpaka hapa nahitimisha kusema waziwazi

All women are devils only your mother might be good to you But she is still a devil to your father.

Binafsi nawaonaga wanawake kama wajinga wajinga hivi, Huwa sitakagi mazoea ya kijinga jinga nao.
 
Mwenye maamuzi ya mwisho ya kutoa Mbususu ni nani?

Mtongozaji au anaye tongozwa?
 
"Ukishindwa kumuongoza mwanamke wewe akili huna"

Ndio nyinyi mnakuja kutusumbua hapa.
 
Labda niongeze kwa kujibu swali LA Binti kiziwi alivouliza wanaume tunategemea kupata nn tunapouliza wanawake Wana nini Cha kuooffer kwenye relationship

Ukweli ni kwamba wanawake wengi kwenye relationship sahivi wapo ilimradi Yani wapo kama bosheni, wapo kwa ajili ya kutake take take and take till u run dry as a man, Yani tukisema wanaume tuwatende wanawake kama wanawake wanavyotutendea kwenye mahusiano, mahusiano mengi yatakufa

Mimi sitegemei hela ya mwanamke kwenye uhusiano, mwanamke anaweza asiwe na hela, na sitegemei awe ananipa hela, ntamuhudumia mahitaji yake, ila kuna namna flani mwanamke anaku-treat, 6th sense inakwambia hapa nina mtu wa maana binti kiziwi
 
Wanawake wema tupo sana.tuna upendo tumejaa utii.

Mlichagua machaguo yenu mkaambulia makoroma huko.basi wote tumekuwa wabaya
Mnajinasibu hivyohivyo kwamba wanawake wema bado mpo. Mkishakinai ndoa/mahusiano kuchoka kwa kuleta visa bila kujijua kama mnaleta visa.

Ndoa ni kifungo cha kutokuachana milele hata kama ni ya Kiislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ