"Infrastructure" ipi au zipi unazoongelea za mwendazake?kwa marais wote JPM kwa infrastruture kwa kweli nilimpa mkono , sema jamaa alikuwa kichwa kigumu , kikwete naye aliacha legacy ya wizi sana sema enzi zake pesa ilikuwa na mzunguko sana , wote kwa issue la deni
Tawala zote za Ccm huachiana matatizo tu.Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.
Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.
Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.
Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.
Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.
Tujadili.
Wajomba wasio mjua wajomba wasioruhusu wat wako waende kule kwao kirahisi wajomba watakao mponzaSamia ataacha rasilimali zote za nchi zikiwa zinamilikiwa na wajomba zake Waarabu wa Dubai na Oman!
Ni vyema sana, na ndilo kusudio langu hilo. Nafurahi limefanya kazi.Sikudhania kama Faiza ni mtu mwenye umri mkubwa kiasi hiko, baadhi ya maudhui yako hapa jukwaani yanakuweka kiwango Cha kijana mwenye upeo mdogo lakini kumbe ni kinyume chake.
SGR , Airports na kununua ndege , barabara nyingi ikiwemo ya kwenda kwangu nyumbani ifakara , sema ujuaji na kichwa ndo zilikuwa hinderance kubwa kwake , yule jamaa angejua kutuliza kichwa askize maoni angefanya mengi ndani ya miaka mitano"Infrastructure" ipi au zipi unazoongelea za mwendazake?
Hapana, haikuwa shillingi 60, nilikuwepo, kwanza wakati wa uhuru Dollar ilikuwa haiongelewi kabisa, imeanza kuongelewa baadae sana, tulikuwa tunaongea Paundi (Sterling Pounds).Umasikini,madeni,na ongezeko la deni la taifa.
Kumbuka wakati wa Uhuru Dola moja ilikua sawa na sh 60 Leo ni 2500.Jibu unalo
Asante kwa kusahihisha nilitaka kusema sh 6.Hapana, haikuwa shillingi 60, nilikuwepo, kwanza wakati wa uhuru Dollar ilikuwa haiongelewi kabisa, imeanza kuongelewa baadae sana, tulikuwa tunaongea Paundi (Sterling Pounds).
nakumbuka nilipoanza kuifahamu Dollar, ilikuwa ni 1 Dollar = Shillingi 3. Wakati huo Poung 1 Shillingi 7.
Dollar ilianza kupata umaarufu baada ya azimio (bovu) la Arusha 1967.
Nasema bovu kwa sababu ndipo umasikini wa kufa watu ulipoanzia.
mkapa aliuza kilakitu zikiwemo rasilimali???Nyerere==aliacha kila kitu kikiwa intact, alipambana na umaskini na hakuumaliza
Mwinyi===aliacha kila kitu kikiwa intact, alipambana na umaskini na hakuumaliza
Mkapa===aliuza kila kitu zikiwemo rasilimali; alitujengea uwanja wa mpira
Kikwete===alipambana na umaskini na hakuumaliza, alituachia vyuo vikuu vipya zaidi ya 40 na shule nyingi mpya za Sekondari za nyongeza
...................
etc
SGR aliukuta mradi upo tayari, alichofanya yeye ni kupiga chini Wachina waliokuwa wauanzishe na kuwaleta Waturuki. Ushahidi:SGR , Airports na kununua ndege , barabara nyingi ikiwemo ya kwenda kwangu nyumbani ifakara , sema ujuaji na kichwa ndo zilikuwa hinderance kubwa kwake , yule jamaa angejua kutuliza kichwa askize maoni angefanya mengi ndani ya miaka mitano
Hapana; the issue is simple.mkapa aliuza kilakitu zikiwemo rasilimali???
kikwete kajenga vyuo zaidi ya 40 nitajie vitano tu.
Hapana, si kweli nilikuwepo.Nyerere==aliacha kila kitu kikiwa intact, alipambana na umaskini na hakuumaliza
...................
etc
Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.
Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.
Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.
Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.
Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.
Tujadili.
Eti dola mbili kwa sasa ni buku tano... hapa bongo kuna mtu anafanya budget ya siku nzima maisha yasogee kwa siku kwa shilingi elfu tano ("5000") ya kitanzania, huko kwao hiyo dola mbili hata kinywaji hupati. Afrika shikamoo! ππ π π ππΎUmasikini,madeni,na ongezeko la deni la taifa.
Kumbuka wakati wa Uhuru Dola moja ilikua sawa na sh 60 Leo ni 2500.Jibu unalo
Hii ni propaganda inayotumika sana.Nyerere alituachia Umoja wa kitaifa.