GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haupendi UTANI achana na huu Uzi!Hiyo klabu usiyoipenda ,ulizaliwa ukiikuta inaendesha mambo yake
Haupendi UTANI achana na huu Uzi!Unapenda kujishtukia sanaa
Huo mstari wa mwisho ndo nini..
Huo mstari ndo ingekua heading ili tujue kabla ya kufungua uzi wakoHaupendi UTANI achana na huu Uzi!
Haupendi UTANI achana na huu Uzi!Huo mstari ndo ingekua heading ili tujue kabla ya kufungua uzi wako
Unanitia tu hasira!Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
Yaani Lionel Messi amuombe Msamaha Simon Msuva? Utasubiri sana Mkuu.Unanitia tu hasira!
Ila siku hizi umekua na nidhamu sijaona ukitukana, mara ya mwisho ulinipa matusi ya Good morning bila kosa ukala ban... nakusubiri uniombe msamaha
Nashkuru!Yaani Lionel Messi amuombe Msamaha Simon Msuva? Utasubiri sana Mkuu.
unaweza usipende ila ikakushughulisha na kua energy vampire wakoHakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania.
Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
Roho Mtakatifu amenibadilisha sana.Nashkuru!
Japo nilikusamehe tokea siku ile, ila wewe nimejua ni jeuri
Mungu akubariki sana mpendwaRoho Mtakatifu amenibadilisha sana.
AMEN / AMINAMungu akubariki sana mpendwa
Yaani Lionel Messi amuombe Msamaha Simon Msuva? Utasubiri sana Mkuu.