Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Sawa nimekupata mkuu hebu endelea kunifafua nijilipue na hiyo ya trial mkuuIpo namna ya kuzipata kwa dola 1 ama 2, ya UHD trial ya mwezi unayotumia Hadi watu 4,
Hivyo Kama watu 4 mnachanga unalipa 2400 ama 4800 ambayo ni sawa na sh 600 kwa mwezi kwa mtu.
Sema ni njia za vichochoroni na kila mwezi inabidi ununue huwezi unga ya muda mrefu.
Unazipata eBay hizo trials, sema za eBay zinakuwa juu kidogo Bei,Sawa nimekupata mkuu hebu endelea kunifafua nijilipue na hiyo ya trial mkuu
Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa NetflixUnazipata eBay hizo trials, sema za eBay zinakuwa juu kidogo Bei,
Za dola 1 mpaka 2 cheki MPGH elite trading sema huko inabidi uwe na means Tofauti, wengine wanapokea malipo kwa Bitcoins, wengine PayPal, wengine wanataka umetext kwa iMessage tu etc inabidi uwe mjanja kidogo kutrade humu.
Na hapa bongo naweza pata app yao ambayo inaweza pakuwa bongo movie...ambayo pia ya kulipia...Unazipata eBay hizo trials, sema za eBay zinakuwa juu kidogo Bei,
Za dola 1 mpaka 2 cheki MPGH elite trading sema huko inabidi uwe na means Tofauti, wengine wanapokea malipo kwa Bitcoins, wengine PayPal, wengine wanataka umetext kwa iMessage tu etc inabidi uwe mjanja kidogo kutrade humu.
Netflix pia unapakua,Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa Netflix
Sijajua hao swahiliflix, Kuna jamaa aliwaweka humu, Bei Kama 20,000 kwa mwezi.Na hapa bongo naweza pata app yao ambayo inaweza pakuwa bongo movie...ambayo pia ya kulipia...
Kuna play store pia wanauza movies sema wanauza per movie na sio per month, hivyo itakucost hela ndefu Kama unaangalia Sana movies.Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa Netflix
Kuna play store pia wanauza movies sema wanauza per movie na sio per month, hivyo itakucost hela ndefu Kama unaangalia Sana movies.
Exodus redux ni addon nzuri kwa media sasa, unaweza pia ukapata addons nyengine na namna ya kuziweka hapaNimerud kodi tena mkuu, nishadownload app ila natak plugin nzuri kwa ajili ya chanel za soka na nyinginezo naomba unisaidie
https://pastebin.com/raw/ZzGTySZE
Je! kuna code nyingine kwajili ya channels za mpira!Exodus redux ni addon nzuri kwa media sasa, unaweza pia ukapata addons nyengine na namna ya kuziweka hapa
Pia kuna jamaa ana update list ya iptv za bure, nenda playstore download iptv player yoyote kisha eka hii url utapata live tv zaidi ya 1000.
Code:https://pastebin.com/raw/ZzGTySZE
Hio link ya url niliokupa mkuu ina chanell za mpira pia kuna app hizi unaweza ukaangalizia mpira.Je! kuna code nyingine kwajili ya channels za mpira!
asante mkuuHio link ya url niliokupa mkuu ina chanell za mpira pia kuna app hizi unaweza ukaangalizia mpira.
1. MOKO TV
ina quality ya sd na HD sema kuwa makini hio hd unaweza eka 1gb ukashangaa dk 29 kifurushi kimekata.
Utaipata hapa
Moko TV - Download Moko Live Stream App To Watch Live Streams Online In HD & SD Quality
Moko TV brings high quality live streams to your view. It loads a database of sports TV channels compatible with your mobile devicemokolivestream.com
2. Livenettv
Hii ina chanell zote hadi za mpira pia kuna movie na series za kutosha, nafkiri wafilipino hawa. Sema jiandae kwa mtangazo ya video ya kutosha
Live NetTV - APK Download Live TV APP
Live NetTV APK for Android will help you stream over 700 TV channels! Watch free TV online using the Live TV App. Live Net TV application is specially designed for those people who want to enjoy their favorite television shows and movies on the go. The content can be streamed in standard...livenettvapk.live
Burma tv
Hawa pia wapo vizuri, quality ndogo na mb kidogo wanatumia 1gb unaweza angalia mechi 2 hadi 3.
Wapo playstore .
Sijacheki Addons gani ipo active sana wakati huu, ila bado ipo.Mkuu Chief Mkwawa, hii KODI bado ipo vizuri!?, nataka game ya man U isinikose leo.
Daah ni adblocker gani niishushe, maana hii chrome ina ads nyingi....Sijacheki Addons gani ipo active sana wakati huu, ila bado ipo.
Kuna hii website huwa natumia, inakula bando ila uhakika unaangalia mechi quality kubwa bila kustack.
Hakikisha tu una adblocker
ublock originDaah ni adblocker gani niishushe, maana hii chrome ina ads nyingi....