Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Ipo namna ya kuzipata kwa dola 1 ama 2, ya UHD trial ya mwezi unayotumia Hadi watu 4,

Hivyo Kama watu 4 mnachanga unalipa 2400 ama 4800 ambayo ni sawa na sh 600 kwa mwezi kwa mtu.

Sema ni njia za vichochoroni na kila mwezi inabidi ununue huwezi unga ya muda mrefu.
Sawa nimekupata mkuu hebu endelea kunifafua nijilipue na hiyo ya trial mkuu
 
Unazipata eBay hizo trials, sema za eBay zinakuwa juu kidogo Bei,

Za dola 1 mpaka 2 cheki MPGH elite trading sema huko inabidi uwe na means Tofauti, wengine wanapokea malipo kwa Bitcoins, wengine PayPal, wengine wanataka umetext kwa iMessage tu etc inabidi uwe mjanja kidogo kutrade humu.
 
Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa Netflix
 
Na hapa bongo naweza pata app yao ambayo inaweza pakuwa bongo movie...ambayo pia ya kulipia...
 
Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa Netflix
Netflix pia unapakua,

Na Kama kupakua ni priority huna haja na Netflix zipo za bure kibao,

-Popcorn time Kama una bundle la kutosha maana source yake ni torrent.

-Terrarium clones mbali Kama cinema HD Kama una bundle la kawaida (mfano 300MB kwa movie)

Hivi zipo app za kulipia ambazo unaweza pakuwa movie moja kwa moja.. tofauti na hawa Netflix
Kuna play store pia wanauza movies sema wanauza per movie na sio per month, hivyo itakucost hela ndefu Kama unaangalia Sana movies.
 
Nimerud kodi tena mkuu, nishadownload app ila natak plugin nzuri kwa ajili ya chanel za soka na nyinginezo naomba unisaidie

Exodus redux ni addon nzuri kwa media sasa, unaweza pia ukapata addons nyengine na namna ya kuziweka hapa

Pia kuna jamaa ana update list ya iptv za bure, nenda playstore download iptv player yoyote kisha eka hii url utapata live tv zaidi ya 1000.

Code:
https://pastebin.com/raw/ZzGTySZE
 
Je! kuna code nyingine kwajili ya channels za mpira!
Hio link ya url niliokupa mkuu ina chanell za mpira pia kuna app hizi unaweza ukaangalizia mpira.

1. MOKO TV
ina quality ya sd na HD sema kuwa makini hio hd unaweza eka 1gb ukashangaa dk 29 kifurushi kimekata.

Utaipata hapa

2. Livenettv
Hii ina chanell zote hadi za mpira pia kuna movie na series za kutosha, nafkiri wafilipino hawa. Sema jiandae kwa mtangazo ya video ya kutosha

Burma tv
Hawa pia wapo vizuri, quality ndogo na mb kidogo wanatumia 1gb unaweza angalia mechi 2 hadi 3.
Wapo playstore .
 
asante mkuu
 
Mkuu Chief Mkwawa, hii KODI bado ipo vizuri!?, nataka game ya man U isinikose leo.
 
Sijacheki Addons gani ipo active sana wakati huu, ila bado ipo.

Kuna hii website huwa natumia, inakula bando ila uhakika unaangalia mechi quality kubwa bila kustack.

Hakikisha tu una adblocker
 
Daah ni adblocker gani niishushe, maana hii chrome ina ads nyingi....
 
Back
Top Bottom