Nawezaje kuistall KODI kwenye TV ?
Nilipo kuwa dar wiki kama mbili hv nilifanikiwa lakin baada ya kutoka huko kila nikijaribu kangalia inakataa sasa sijui kwa mini.
Pia nilipata channel za nje tuuu lakin za bongo zilikataa .
Tusaidiane tafadhali
internet za waya mjini zipo ila bei haijakuwa chini kiasi cha mtu wa kawaida kuweza kununua na speed ni mbovu.Basi hapo unabidi utafute unlimited internet kuangalia mda wote coz bundle ya 1GB wanatuzia mpka buku mbili kwny hii mitandao yetu ya bongo,lakin naona revolution kwny internet nw days kuna hawa simba net naona wanasambaza wire mitaani sijajua maybe watatoa mambo ya bundle
Kama inakataaa jaribu na phoenix nayo. Sometime matatizo yanakuwa kwao hao watengeneza plugin hivyo ni ngumu kwetu kutatua.msaada kdogo hapa nilkuwa nainstall vdtube25.nakwamia install from zip file nikiselect xfinity km maelekezo yanavo sema inakubal nnapo select xunitytalk-repository.zip nasubr notfication nardishwa nyuma tema kwenye install from zip file Chief-Mkwawa
Naangalia skypsports game ya chelsea bila kukatakata hii kitu imetulia
game inaonyeshwa skysports ipi mkuu
MIMI NIMEPATA HII HAPA ISRAEL TV INA CHANNEL ZOTE ZA UK US CANADA MPIRA CHANNEL ZAO NYINGI ZINZFANYA KAZI INGIA HAPA NA WENGINE MJARIBU https://seo-michael.co.uk/tutorial-how-to-install-isrealive-video-add-on-kodi/
[h=2][/h]
Una uhakika ni SUPER-sport na sio SKY-sport?Masela mi sijui hzi channel zikoje...nimeangalia game ya chelsea kuanzia saa moja na nusu jana live kwenye supersport 3hd.....mtu akarudi getto baada ya mechi akaniambia game ilionyeshwa supersport 5,3 hapakuwa na mechi.....nielewesheni
Una uhakika ni SUPER-sport na sio SKY-sport?