Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nawezaje kuistall KODI kwenye TV ?

Tafuta Google android tv utaweza kuinstall KODI huko...

Mwaka 2013 kama sijakosea kulikuwa na toleo la LG Google TV ambayo ilikuwa inakubali kubeba KODI bythen ilikuwa inaitwa XBMC...
 
Jamani mimi kila niki click kwenye live tv naambiwa no connection...msaada plz
 
Nilipo kuwa dar wiki kama mbili hv nilifanikiwa lakin baada ya kutoka huko kila nikijaribu kangalia inakataa sasa sijui kwa mini.

Pia nilipata channel za nje tuuu lakin za bongo zilikataa .
Tusaidiane tafadhali
 
bongo Azam two unaweza intall ukaiona jaribu kufuatilia huko nyuma kuna maelezo jinsi ya kuinstall
 
Basi hapo unabidi utafute unlimited internet kuangalia mda wote coz bundle ya 1GB wanatuzia mpka buku mbili kwny hii mitandao yetu ya bongo,lakin naona revolution kwny internet nw days kuna hawa simba net naona wanasambaza wire mitaani sijajua maybe watatoa mambo ya bundle
internet za waya mjini zipo ila bei haijakuwa chini kiasi cha mtu wa kawaida kuweza kununua na speed ni mbovu.

Usishangae internet ya 1mbps kuuziwa zaidi ya laki 1
 
msaada kdogo hapa nilkuwa nainstall vdtube25.nakwamia install from zip file nikiselect xfinity km maelekezo yanavo sema inakubal nnapo select xunitytalk-repository.zip nasubr notfication nardishwa nyuma tema kwenye install from zip file Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:

Kama inakataaa jaribu na phoenix nayo. Sometime matatizo yanakuwa kwao hao watengeneza plugin hivyo ni ngumu kwetu kutatua.
 
Last edited by a moderator:
Naangalia skypsports game ya chelsea bila kukatakata hii kitu imetulia
 
mpaka sasa nmefanikiwa kuweka add-ons za vdupt25 tu nyingine zote naona mapichapicha tu...yani hazikubali kwangu
 
Baadae wakati wa mechi tuwe tuna tupia link za live mechi hapa ambazo unaweza kustream bila ya kodi
 
Masela mi sijui hzi channel zikoje...nimeangalia game ya chelsea kuanzia saa moja na nusu jana live kwenye supersport 3hd.....mtu akarudi getto baada ya mechi akaniambia game ilionyeshwa supersport 5,3 hapakuwa na mechi.....nielewesheni
 
Una uhakika ni SUPER-sport na sio SKY-sport?
 
Una uhakika ni SUPER-sport na sio SKY-sport?

Super sport 3hd mpaka kipindi cha kwanza kikaisha tena pale kwenye zemtv haikuwa kwenye order ya zile super sports bali bali pale juu kwenye live events ...ikaanza kuzingua,kipindi cha pili nikatafuta kwenye live streams kwa kodi nikapata astro
 
Back
Top Bottom