Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Sevilla hd kabisa kupitia kodi

Screenshot_2021-05-12-21-31-02-433_org.xbmc.kodi.jpg
 
Unaweka ad blocker, browser nyingi za simu ad blocker zake ni weak tofauti na pc.

Firefox ad blocker inakuwa ile ile ila sidhani kama browser yao ipo optimized na TV, unaweza kujaribu.
Chief kodi iko njema hebu nichekie na add on zitakazoniwezesha kupata chanel za habari, na hata mambo ya above18
 
Chief kodi iko njema hebu nichekie na add on zitakazoniwezesha kupata chanel za habari, na hata mambo ya above18
Habari jaribu kuangalia official store humo humo ndani kuna kipindi chanel za bure kama AL Jazeera wanaweka addons zao.
 
Fainali ndio hii mda mchache ujao kodi nilikua nimeinstall tu plugin moja ya sports hd naona kila nikitaka kufungua nikua kodi inagoma mzee so tunafanyaje tunaiangalia vipi fainal ikiwa hd kabisa
 
Fainali ndio hii mda mchache ujao kodi nilikua nimeinstall tu plugin moja ya sports hd naona kila nikitaka kufungua nikua kodi inagoma mzee so tunafanyaje tunaiangalia vipi fainal ikiwa hd kabisa
Mimi hutumia hii link

Sema ina matangazo ya kutosha, kwa simu tumia brave browser ama kwa pc Hakikisha Una adblock, matangazo mengi sana kwenye hio site.
 
Back
Top Bottom