VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
Ni yale yale tu. Kwani malipo si ni hapa hapa duniani? Kikubwa tu hakuna cha bure, labda kaburi tuuu. Na hilo hakuna anaeliombea msaadaKumbuka umezaliwa na mwanamke
Kumbuka utakuja kua na mtoto wa kike....
Sitak kuongea mengi tafakar
Hapana. Mama yangu aliolewa, sema tu mama yako ndo amezaliwa enzi za mizinga, ndo akapata mimba yako. Si ajabu ukute hata baba unayeambiwa siyo wako. Tu ninaKwahiyo mzazi wako alisaidiwa kwa kulipa sex mpate kuishi ? Kwamba una hiyo trauma ??
Ni baba yangu,, sijui kwako!!Hapana. Mama yangu aliolewa, sema tu mama yako ndo amezaliwa enzi za mizinga, ndo akapata mimba yako. Si ajabu ukute hata baba unayeambiwa siyo wako. Tu nina
Mwenye nazo nenda kaombee Serengeti. Au umeshachakazwa! Nimerusha jiwe,mwenyewe kaguswa ndo kilio sasaHuna akili nyamaza