Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

Mimi nilishakuelewa ,wacha nianze kufyatua Ila hawaendi medium Wala nini ni mwendo wa kayumba Ila watakuwa wanaitwa watoto wa tajiri wa Kijiji maana lazima niwapeleke mwenyewe na Corolla yangu
Yes wanasoma Kayumba kifalme. Uniforms pea 5. Mashati ma5. Kaptula 5. Viatu pea 5. Mabegi pea 3. Madaftari yote. Vitabu vyote. Nyumbani wanakula vizuri. Kunakuwa na lishe maalumu ya kuimarisha uimara wa ubongo mfano samaki kwa wingi. Tv ipo. Wanapata programme za kiingereza unakuwa unawekea kupitia tv. Tuition za kutosha etc
Watoto wanaishi vizuri wanakuwa vizuri watafaulu wanaenda seco then chuo then maisha mengine yanaendelea.
 
Naona tatizo kubwa sana huko mbele kwenye 2030s huko na kuendelea...

Gen z waliosoma english medium wakapigika na maisha watasemwa sana.

Sema hii ni vita yenu nyie wazazi, msije mkatuingiza kwasababu kiukweli hatukuwaomba mtusomeshe huko,

Na mwisho, naweza kukubaliana na LIKUD kwa kiasi flani, binafsi nimesoma english medium ila sioni faida zake, labda nitaziona nikibahatika kuingia kazini....
(Ukisoma international schools kuna faida lakini, sio EM zote ni international)
 
We huna pesa,usilazimishe watu wafate ufahamu wako, wasio na pesa ndio huwa wanaponda shule za kizungu, au magari maturity, utawasikia, "kwani gari utazikwa, nalo,au maskini ndio wanaishi kwa, furaha, hawana hofu ya kuvamiwa na majambazi!
Kama, unadhqni shule za, English medium tunafata, kizungu, bado upo gizani,
Taja waziri au mkuu wa wilaya, anayesomesha kayumba! Hata, waziri wa tamisemi watoto wake wapo English medium, acha ufala tafuta pesa
kwa nilivo muelewa alikuwa anamaanisha wale wenye vipato vya kawaida wanaopambana kulipia watoto shule za gharama nyingi ilihali vipato vyao haviruhusu kufanya hivo ila sio kwa wenye uwezo wao au matajiri.
 
H
Yes wanasoma Kayumba kifalme. Uniforms pea 5. Mashati ma5. Kaptula 5. Viatu pea 5. Mabegi pea 3. Madaftari yote. Vitabu vyote. Nyumbani wanakula vizuri. Kunakuwa na lishe maalumu ya kuimarisha uimara wa ubongo mfano samaki kwa wingi. Tv ipo. Wanapata programme za kiingereza unakuwa unawekea kupitia tv. Tuition za kutosha etc
Watoto wanaishi vizuri wanakuwa vizuri watafaulu wanaenda seco then chuo then maisha mengine yanaendelea.
Hii ni nzuri na itakuwa zaidi ya hizo medium maana huko ugali na maharagwe kwa wingi ,samaki sidhani Kama wanazipata zaidi ya tufinyango twa nyama zilizokaushwa hata hazina afya
 
kwa nilivo muelewa alikuwa anamaanisha wale wenye vipato vya kawaida wanaopambana kulipia watoto shule za gharama nyingi ilihali vipato vyao haviruhusu kufanya hivo ila sio kwa wenye uwezo wao au matajiri.
Asante kwa kunisaidia kumuelewesha kilaza huyo.
 
Naona tatizo kubwa sana huko mbele kwenye 2030s huko na kuendelea...

Gen z waliosoma english medium wakapigika na maisha watasemwa sana.

Sema hii ni vita yenu nyie wazazi, msije mkatuingiza kwasababu kiukweli hatukuwaomba mtusomeshe huko,

Na mwisho, naweza kukubaliana na LIKUD kwa kiasi flani, binafsi nimesoma english medium ila sioni faida zake, labda nitaziona nikibahatika kuingia kazini....
(Ukisoma international schools kuna faida lakini, sio EM zote ni international)
100% correct.
 
Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu?

Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania?

Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa.

Back to the topic [emoji116][emoji116]

Jana nimepita kwenye studio moja( jina kapuni) nilimpeleka artist wangu mpya "ninaemsimamia" kwenye kazi zake( Binti wa mwaka 2006, mwanafunzi wa chuo cha kati)

Nikiwa studio nikakuta kuna wimbo unafanyiwa mixing.

Nilikuwa so much excited na utunzi wa msanii kwa sababu ya wazo lake, uhalisia wa anacho kisema pamoja na melody aliyo ichagua.

STORY YA WIMBO KILAZA:

BACK GROUND : [emoji116][emoji116][emoji116]

To cut it short, rejea wimbo uitwao Malebo.

Kwenye wimbo Malebo, muimbaji ambae alikuwa mtenda dhambi na sasa ameokoka, anaelezea kuhuzunishwa kwake na rafiki yake wa tangu utotoni aitwae Malebo ambae amekataa kuokoka na badala yake ameamua kuendelea kuishi maisha ya kidunia licha ya kumhubiri kila siku aokoke.

WIMBO WENYEWE SASA[emoji116][emoji116][emoji116]

Jamaa ameimba kwa kufuatisha beat na melody ya wimbo wa Malebo vile vile isipokuwa kwenye jina " Malebo" yeye ameweka jina " Kilaza" na pia amebadilisha baadhi ya maneno.

BAADHI YA MASHAIRI YA WIMBO WENYEWE SASA [emoji116][emoji116][emoji116]

Nna huzuni rohoni Mimi siimbi nalia, namlilia KILAZA amekataa KUHAMISHA.

Nilizo imba ni nyingi nikimuonya KILAZA bado HAJAWAHAMISHA sasa siimbi nalia.

Ye ni wangu rafiki tulie SOTA pamoja/

Kwenye ada za watoto TULITESEKA pamoja.

Mwenzake nikaamua kuwahamisha watoto, bado HAJAWAHAMISHA sasa siimbi nalia.

Si yeye peke yake ninao wengi rafiki, Mimi niliwashauri tuwahamishe watoto, tuwapeleke kwa shule hizi zetu za Kayumba, wote wakawahamisha amebakia KILAZA.

Mara kwa mara huwa akanitafuta, nimkopeshe laki 2 akamalizie ada, nikimwambia KILAZA si wahamishe watoto, matusi tanitukana melalia masikio.

Hii ni wiki ya 6 watoto wapo nyumbani, sababu wamefukuzwa jalipa ada shuleni,
wenzao wapo Kayumba wanafurahi pamoja, KILAZA nikimwambia ye anaruka Kimanga.

Wakumbuke vizuri Pili na 3 pamoja walipouza nyumba zao ili wakalipe ada. Walipofika la 5 nayo pesa ikakata, watoto wakafukuzwa wakawaleta Kayumba...

WIMBO unaendelea....
..................................
PUBLIC REACTION AND ACCEPTANCE ( my prediction)

1. First of all , Wimbo utakuwa published kwenye social media something which means that, utawafikia mamilioni ya watu ndani ya muda mfupi sana.

2. Utazua mijadala kwenye media .

3. Utawafungua " vilaza" wengi sana. Na wengi wao watawarejesha watoto wao kwenye shule za Kayumba..

.......

Kwa wale mlio soma somo la History mlipokuwa Advance, kuna topic inaitwa " The rise of capitalism in Europe"

Capitalism/ ubepari una fundisha kwamba there is no expansionism without an equal exchange. Hakuna mafanikio/ utajiri bila mabadilishano ya rasilimali yasiyo na usawa ama dhulma kwa lugha nyepesi.

Ndio maana kanuni yao kuu katika uzalishaji ni :[emoji116][emoji116][emoji116]

Minimize cost to maximize profit.

Kwao biashara ni pale unaponunua dhahabu kwa shilingi elfu moja kisha unaenda kuiuza kwa shilingi milioni mia moja.

Bepari anapokwambia mfano gari fulani bei yake ni shilingi milioni mia5. Haimaanishi kwamba gharama zilizo tumika kuitengeneza gari hiyo ni shilingi milioni mia5 isipokuwa ina maanisha kwamba bepari amefanikiwa kukushawishi wewe uamini kwamba hiyo gari thamani yake ni shilingi milioni mia 5. It is all about ushawishi.

Unaponunua iphone15 kwa sh. Milioni 4 haimaanishi kwamba gharama iliyo tumika kutengeneza iPhone hiyo ni shilingi milioni 4. Usikute gharama iliyo tumika kutengeneza iPhone 15 haifiki hata elfu 10. Ila imekuwa branded na kupewa thamani ya shilingi milioni 4.

Vivyo hivyo hata hawa Wamiliki wa shule za EM. Anapokwambia ada ni milioni 4 kwa mwaka haimaanishi kwamba thamani ya elimu inayo tolewa hapo shuleni ni shilingi milioni 4. Ina maanisha kwamba mwekezaji wa shule amekuaminisha wewe uone kwamba elimu anayo ipata mwanao hapo shuleni thamani yake ni sh. Milioni 4 kwa mwaka.

FUNZO KUU KWENYE WIMBO HUU:

Kama uwezo wako ni wa kawaida, usijitese kuhangaika kutafuta pesa huko na huko ili eti uwalipie watoto wako ada kwenye shule za English Mediums ( ambazo walimu wao walisoma Kayumba, mmiliki alisoma Kayumba, na wao wenyewe English sio lugha mama yao wala sio lugha yao ya kwanza, wala hawa communicate kwa kutumia English on daily basis)

Wapeleke watoto wako Kayumba. Wasimamie. Wawekee miundo mbinu mizuri huko huko Kayumba watasoma watafaulu vizuri, secondary watafaulu vizuri na watafika chuo bila wewe kuwa na stress ambazo hazina ulazima wowote.

Shule za English Medium sio muhimu . Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo. Unapolipa mamilioni yako kwenye shule hizo , unalipia huo " umuhimu wa kutengenezwa" na sio elimu.

There is no value for money.

Hiyo pesa unayo ipoteza kizembe ni bora uende ukanunue the real assets. The tangible assets kama vile ardh, nyumba, mashamba, uwekezaji etc kuliko kununua hiyo intangible asset ( aseti hewa) ambayo ndo huo [emoji117] umuhimu ulio tengenezwa na wamiliki wa shule za kiingereza kuhusu shule zao.

Stuka, usiwe Mampara Mgaiza kama Armando Guebuza.
Watakuelewa wachache sana ila ipo siku watakuelewa na watakuwa wamechelewa.
 
Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu?

Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania?

Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa.

Back to the topic 👇👇

Jana nimepita kwenye studio moja( jina kapuni) nilimpeleka artist wangu mpya "ninaemsimamia" kwenye kazi zake( Binti wa mwaka 2006, mwanafunzi wa chuo cha kati)

Nikiwa studio nikakuta kuna wimbo unafanyiwa mixing.

Nilikuwa so much excited na utunzi wa msanii kwa sababu ya wazo lake, uhalisia wa anacho kisema pamoja na melody aliyo ichagua.

STORY YA WIMBO KILAZA:

BACK GROUND : 👇👇👇

To cut it short, rejea wimbo uitwao Malebo.

Kwenye wimbo Malebo, muimbaji ambae alikuwa mtenda dhambi na sasa ameokoka, anaelezea kuhuzunishwa kwake na rafiki yake wa tangu utotoni aitwae Malebo ambae amekataa kuokoka na badala yake ameamua kuendelea kuishi maisha ya kidunia licha ya kumhubiri kila siku aokoke.

WIMBO WENYEWE SASA👇👇👇

Jamaa ameimba kwa kufuatisha beat na melody ya wimbo wa Malebo vile vile isipokuwa kwenye jina " Malebo" yeye ameweka jina " Kilaza" na pia amebadilisha baadhi ya maneno.

BAADHI YA MASHAIRI YA WIMBO WENYEWE SASA 👇👇👇

Nna huzuni rohoni Mimi siimbi nalia, namlilia KILAZA amekataa KUHAMISHA.

Nilizo imba ni nyingi nikimuonya KILAZA bado HAJAWAHAMISHA sasa siimbi nalia.

Ye ni wangu rafiki tulie SOTA pamoja/

Kwenye ada za watoto TULITESEKA pamoja.

Mwenzake nikaamua kuwahamisha watoto, bado HAJAWAHAMISHA sasa siimbi nalia.

Si yeye peke yake ninao wengi rafiki, Mimi niliwashauri tuwahamishe watoto, tuwapeleke kwa shule hizi zetu za Kayumba, wote wakawahamisha amebakia KILAZA.

Mara kwa mara huwa akanitafuta, nimkopeshe laki 2 akamalizie ada, nikimwambia KILAZA si wahamishe watoto, matusi tanitukana melalia masikio.

Hii ni wiki ya 6 watoto wapo nyumbani, sababu wamefukuzwa jalipa ada shuleni,
wenzao wapo Kayumba wanafurahi pamoja, KILAZA nikimwambia ye anaruka Kimanga.

Wakumbuke vizuri Pili na 3 pamoja walipouza nyumba zao ili wakalipe ada. Walipofika la 5 nayo pesa ikakata, watoto wakafukuzwa wakawaleta Kayumba...

WIMBO unaendelea....
..................................
PUBLIC REACTION AND ACCEPTANCE ( my prediction)

1. First of all , Wimbo utakuwa published kwenye social media something which means that, utawafikia mamilioni ya watu ndani ya muda mfupi sana.

2. Utazua mijadala kwenye media .

3. Utawafungua " vilaza" wengi sana. Na wengi wao watawarejesha watoto wao kwenye shule za Kayumba..

.......

Kwa wale mlio soma somo la History mlipokuwa Advance, kuna topic inaitwa " The rise of capitalism in Europe"

Capitalism/ ubepari una fundisha kwamba there is no expansionism without an equal exchange. Hakuna mafanikio/ utajiri bila mabadilishano ya rasilimali yasiyo na usawa ama dhulma kwa lugha nyepesi.

Ndio maana kanuni yao kuu katika uzalishaji ni :👇👇👇

Minimize cost to maximize profit.

Kwao biashara ni pale unaponunua dhahabu kwa shilingi elfu moja kisha unaenda kuiuza kwa shilingi milioni mia moja.

Bepari anapokwambia mfano gari fulani bei yake ni shilingi milioni mia5. Haimaanishi kwamba gharama zilizo tumika kuitengeneza gari hiyo ni shilingi milioni mia5 isipokuwa ina maanisha kwamba bepari amefanikiwa kukushawishi wewe uamini kwamba hiyo gari thamani yake ni shilingi milioni mia 5. It is all about ushawishi.

Unaponunua iphone15 kwa sh. Milioni 4 haimaanishi kwamba gharama iliyo tumika kutengeneza iPhone hiyo ni shilingi milioni 4. Usikute gharama iliyo tumika kutengeneza iPhone 15 haifiki hata elfu 10. Ila imekuwa branded na kupewa thamani ya shilingi milioni 4.

Vivyo hivyo hata hawa Wamiliki wa shule za EM. Anapokwambia ada ni milioni 4 kwa mwaka haimaanishi kwamba thamani ya elimu inayo tolewa hapo shuleni ni shilingi milioni 4. Ina maanisha kwamba mwekezaji wa shule amekuaminisha wewe uone kwamba elimu anayo ipata mwanao hapo shuleni thamani yake ni sh. Milioni 4 kwa mwaka.

FUNZO KUU KWENYE WIMBO HUU:

Kama uwezo wako ni wa kawaida, usijitese kuhangaika kutafuta pesa huko na huko ili eti uwalipie watoto wako ada kwenye shule za English Mediums ( ambazo walimu wao walisoma Kayumba, mmiliki alisoma Kayumba, na wao wenyewe English sio lugha mama yao wala sio lugha yao ya kwanza, wala hawa communicate kwa kutumia English on daily basis)

Wapeleke watoto wako Kayumba. Wasimamie. Wawekee miundo mbinu mizuri huko huko Kayumba watasoma watafaulu vizuri, secondary watafaulu vizuri na watafika chuo bila wewe kuwa na stress ambazo hazina ulazima wowote.

Shule za English Medium sio muhimu . Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo. Unapolipa mamilioni yako kwenye shule hizo , unalipia huo " umuhimu wa kutengenezwa" na sio elimu.

There is no value for money.

Hiyo pesa unayo ipoteza kizembe ni bora uende ukanunue the real assets. The tangible assets kama vile ardh, nyumba, mashamba, uwekezaji etc kuliko kununua hiyo intangible asset ( aseti hewa) ambayo ndo huo 👉 umuhimu ulio tengenezwa na wamiliki wa shule za kiingereza kuhusu shule zao.

Stuka, usiwe Mampara Mgaiza kama Armando Guebuza.
Hii projekt
 
Back
Top Bottom