Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

Mimi nilishakuelewa ,wacha nianze kufyatua Ila hawaendi medium Wala nini ni mwendo wa kayumba Ila watakuwa wanaitwa watoto wa tajiri wa Kijiji maana lazima niwapeleke mwenyewe na Corolla yangu
Yes wanasoma Kayumba kifalme. Uniforms pea 5. Mashati ma5. Kaptula 5. Viatu pea 5. Mabegi pea 3. Madaftari yote. Vitabu vyote. Nyumbani wanakula vizuri. Kunakuwa na lishe maalumu ya kuimarisha uimara wa ubongo mfano samaki kwa wingi. Tv ipo. Wanapata programme za kiingereza unakuwa unawekea kupitia tv. Tuition za kutosha etc
Watoto wanaishi vizuri wanakuwa vizuri watafaulu wanaenda seco then chuo then maisha mengine yanaendelea.
 
Naona tatizo kubwa sana huko mbele kwenye 2030s huko na kuendelea...

Gen z waliosoma english medium wakapigika na maisha watasemwa sana.

Sema hii ni vita yenu nyie wazazi, msije mkatuingiza kwasababu kiukweli hatukuwaomba mtusomeshe huko,

Na mwisho, naweza kukubaliana na LIKUD kwa kiasi flani, binafsi nimesoma english medium ila sioni faida zake, labda nitaziona nikibahatika kuingia kazini....
(Ukisoma international schools kuna faida lakini, sio EM zote ni international)
 
kwa nilivo muelewa alikuwa anamaanisha wale wenye vipato vya kawaida wanaopambana kulipia watoto shule za gharama nyingi ilihali vipato vyao haviruhusu kufanya hivo ila sio kwa wenye uwezo wao au matajiri.
 
H Hii ni nzuri na itakuwa zaidi ya hizo medium maana huko ugali na maharagwe kwa wingi ,samaki sidhani Kama wanazipata zaidi ya tufinyango twa nyama zilizokaushwa hata hazina afya
 
kwa nilivo muelewa alikuwa anamaanisha wale wenye vipato vya kawaida wanaopambana kulipia watoto shule za gharama nyingi ilihali vipato vyao haviruhusu kufanya hivo ila sio kwa wenye uwezo wao au matajiri.
Asante kwa kunisaidia kumuelewesha kilaza huyo.
 
100% correct.
 
Watakuelewa wachache sana ila ipo siku watakuelewa na watakuwa wamechelewa.
 
Hii projekt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…