Kile kiapo cha damu hiki hapa

[emoji813]Yakobo : Mlango 5[emoji813]

12 Lakini zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, wala kwa mbingu wala kwa nchi; wala kwa kiapo kinginecho chote; bali ndiyo yenu na iwe ndiyo, na siyo yenu iwe siyo, msije mkaangukia hukumu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Nina swali kwanini ukamwage ile mixer ya damu njiapanda...na kwanini njiapanda huwa ni sehemu inayoogopwa sana
 
Inategemea na dhamira juu ya matokeo
Maji yanafurisha
Moto unaunguza
Njia panda inatawanya
Asante mkuu Mshana Jr kwa unavyojib maswali yetu, sasa..kwa nia yangu ile ya kila atakae nifanyia mabaya na yy akaptwe na majanga zaid na mazito kip ni bora kwa matokeo mazur kat ya kuunguza ninywe majiv, niloweke karatas ninywe, au nitafune karatas nimeze???
Kip bora kwa matokeo mazur
 
Bado uamuzi unao mwenyewe kulingana na MUKTADHA wa matokeo.... Hatufanani.. Inategemea umefanyiwa nini, umedhulumiwa nini.. Nk nk
 
Hakuna kitu hapo. Hayo ni maneno ya kawaida sana kama mengine hayana madhara yoyote katika Maisha ya mwanadamu.
Usiogopeshe wadau humu ndani.
 
Uko eneo lenye mambo yote [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Ahhhh mshana eneo la kilinge cha wachawi linakuaje ni bahati kwangu mzee manyaunyau...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hebu fafanua usiniache njiaapanda [emoji16][emoji16]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Ahhhh mshana eneo la kilenge cha wachawi linakuaje ni bahati kwangu mzee manyaunyau...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hebu fafanua usiniache njiaapanda [emoji16][emoji16]
Kuna vingi vunatupwa unaweza kuokota fuko la midorari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…