Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa Ni mjinga sana maana kama angekuwa Ni Mtu wa dini angejua kiwa YESU alisema msipende KUAPA sababu hiyo Ni kazi ya yule muovu.Hahaa kuna mdada alikuwa kila akikutwa na kosa anakimbilia biblia na kuishika kisha anaanza kuapa kumbe anazuga ili mume amuamini na mume wake anaamin sana dini hivyo akawa anamuamin mkewe kuwa hana kosa sababu ameapa akiwa na biblia cku alipogundua huo mchezo wa mkewe alichoka mwili na roho pia hahaaa
mkuu unaenda kufanya practical ninShule tosha hii
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE.[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ubaya wa hii itakurudi na kukupiga na ZABURI 109. ...NI HATARI SANA NDUGU YANGU USIFANYE HICHI KITU. ...HIYO ZABURI YA 109 ITAKULIPUWA KABISA. ..KUMBUKA WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..NI HATARIWRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Si umeona angalizo nililotoa?Ubaya wa hii itakurudi na kukupiga na ZABURI 109. ...NI HATARI SANA NDUGU YANGU USIFANYE HICHI KITU. ...HIYO ZABURI YA 109 ITAKULIPUWA KABISA. ..KUMBUKA WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..NI HATARI
Nimekuelewa niliweka msisitizo tu kwa wasomaji. ...thanks. .Si umeona angalizo nililotoa?
Inasikitisha kwa kweli!Yan unamchanganyia mwenzio na dam ya mp... Uchafu mtupu