Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kile kiapo cha damu hiki hapa

Hahaa kuna mdada alikuwa kila akikutwa na kosa anakimbilia biblia na kuishika kisha anaanza kuapa kumbe anazuga ili mume amuamini na mume wake anaamin sana dini hivyo akawa anamuamin mkewe kuwa hana kosa sababu ameapa akiwa na biblia cku alipogundua huo mchezo wa mkewe alichoka mwili na roho pia hahaaa
Huyo jamaa Ni mjinga sana maana kama angekuwa Ni Mtu wa dini angejua kiwa YESU alisema msipende KUAPA sababu hiyo Ni kazi ya yule muovu.
 
Huyo jamaa Ni mjinga sana maana kama angekuwa Ni Mtu wa dini angejua kiwa YESU alisema msipende KUAPA sababu hiyo Ni kazi ya yule muovu.
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE.
Ila si wote ni washika dini na kuna wengine hawaamini kabisa
 
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART

Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake

NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE

CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Ubaya wa hii itakurudi na kukupiga na ZABURI 109. ...NI HATARI SANA NDUGU YANGU USIFANYE HICHI KITU. ...HIYO ZABURI YA 109 ITAKULIPUWA KABISA. ..KUMBUKA WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..NI HATARI
 
Ubaya wa hii itakurudi na kukupiga na ZABURI 109. ...NI HATARI SANA NDUGU YANGU USIFANYE HICHI KITU. ...HIYO ZABURI YA 109 ITAKULIPUWA KABISA. ..KUMBUKA WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ..NI HATARI
Si umeona angalizo nililotoa?
 
soft_blood.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom