joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Usinisahau mkuuItakuwa hapahapa natumai takutag usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinisahau mkuuItakuwa hapahapa natumai takutag usijali
Wanamdhihaki na kumkufuru MunguVipi kuhusu vile viapo wanavyoapa viongozi kwa kushika quran na biblia wakiapa kwamba watailinda na kuitetea katiba ya nchi na matokeo yake inakua kinyume na viapo walivyoapa siiajabu hivi viapo vinawatafuna taratibu.
Sawa kabisa ndo nataka hiki sasa, hakika. Ngoja nikaanzishe uzi niliokusudia sasa.WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Nini tatizo mkuu!Mungu wangu
HahahahahahahahaaaaaaaaaaaaHahaa kuna mdada alikuwa kila akikutwa na kosa anakimbilia biblia na kuishika kisha anaanza kuapa kumbe anazuga ili mume amuamini na mume wake anaamin sana dini hivyo akawa anamuamin mkewe kuwa hana kosa sababu ameapa akiwa na biblia cku alipogundua huo mchezo wa mkewe alichoka mwili na roho pia hahaaa
Nataka nifanye hivo kwa malengo kuwa yeyote atakayenifanyia mabaya nae yamkute zaid ya hayo(kwa kuandika kwa dam yangu)WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Kwann mkuu?? Unajua kwann nasema ivo? Mm nahis nina hyo nature, asilimia 90 ya wanaonifanyia mabaya wanapata mabaya pia, mfn mtu akinikopa kit kweny biashara zake asinulipe na yy anafilisika muda si mref, nina mifano zaid ya 3!! Nataka nii-activate hyo nguvDuu... Inawezekana lakini sijushauri... Huyo mtu atapata tabu sana
Usihofu, hujaenda mbali na ulichosema. Jumuiya tunapeane kiapo kama hichoOoh sikusoma mpaka mwisho nikajua kuna mtu unataka ukamfanyie.... Kumradhi sana
Kama inawezekana naomba unielekeze au nije pm au hapahapa?? Nataka kitumia dam yangu kujiapiza kuwa YEYOTE ATAKAWNIFANYIA UBAYA WAKATI SIJAMKOSEA KITU NA YEYE YAMPATE MABAYA ZAIDDuu... Inawezekana lakini sijushauri... Huyo mtu atapata tabu sana
Endelea ila tambua atadhurika na hakuna rivasiKama inawezekana naomba unielekeze au nije pm au hapahapa?? Nataka kitumia dam yangu kujiapiza kuwa YEYOTE ATAKAWNIFANYIA UBAYA WAKATI SIJAMKOSEA KITU NA YEYE YAMPATE MABAYA ZAID
Nikimaliza karatasi niifanyeje? (Disposal yake)Endelea ila tambua atadhurika na hakuna rivasi
Nafuatilia hii kituKama inawezekana naomba unielekeze au nije pm au hapahapa?? Nataka kitumia dam yangu kujiapiza kuwa YEYOTE ATAKAWNIFANYIA UBAYA WAKATI SIJAMKOSEA KITU NA YEYE YAMPATE MABAYA ZAID
Hahahahaaa..Nafuatilia hii kitu
♥Yakobo : Mlango 5♥WRITTEN IN BLOOD