Kilevi hiki ni hatari kwa taifa japo kina faida kwa wanasiasa

Siasa ukichambua wewe inatosha hamna mtu uliekuja nae duniani Wala unaemlisha fanya mambo Yako mwisho wa siku utazikwa kivyako na siasa zako
Nataka tuchambue wengi, na wewe ukiwemo, mimi naweza kukulisha kwa maisha yako yote
 
Nataka tuchambue wengi, na wewe ukiwemo, mimi naweza kukulisha kwa maisha yako yote
Siwezi kuchambua siasa sababu ninapesa zangu na biashara zangu mda kukaa kuchambua siasa Sina labda mda wa kustarehe ikiwemo kuangalia mpira nichambue siasa kwani Mimi Nataka uongozi halafu ulivyokua masikini unapata mda wa kuchambua siasa wewee kweli huna akili mzee Kaa hapo wapigie debe kina mbowe na lissu halafu wakiingia madarakani waanzae kula Kwa urefu wa kamba zao halafu uanze kupigia debe wengine ambao hawapo madarakani huku miaka inaenda unakufa na umasikini wako tanzania hii
 
Acha uongo Tanzania hamna amani tanzania Kuna waoga ambao ni raia wa tanzania Amani haiwezi kuwepo kwenye njaa
Ni wapi kuna amani kutuzidi? Weka na ushahidi!!

Mimi kigezo changu cha amani ni kwamba nchi yetu haijawahi kuzalisha wakimbizi wa kwenda kuishi nchi jirani kwa maelfu. Bali nchi yetu imekuwa ndiyo mhifadhi wa wakimbizi kutoka Burundi, Rwanda, Uganda na DRC.

Vilevile tumekuwa wasuluhishi wa nchi kama Kenya wakati waliuana kufuatia uchaguzi wa 2007.

Sasa unaongelea uwoga, kwani uwoga ni dhambi?. Kunguru ni mwoga na kwa uwoga wake anaishi miaka zaidi 20 wakati kuku wa kienyeji huishi miaka 5. Kupanga ni kuchagua, chagua uwe kunguru uishi miaka 20 au uwe kuku uishi miaka 5
 
Hakuna walichopata Gen Z wa Kenya zaidi ya kufa watu zaidi 70, kujeruhiwa zadi ya 400 na uharibifu mali. Huku wengine wakiwa na mashtaka ya looting
 
Wewe acha siasa zako unaijua amani kwanza unaweza ukawa unalopoka hata maana ya amani huijui
 
Shabiki wa Simba ananuna mno pale Yanga inapofanya vema ,vijimaneno maneno vinakuwa kibaaaaaooooo, hali kadhalika shabiki wa Yanga anakosa raha na anakarahika pale Simba inapofanya vizuri.

Sio Kila wakati unanuna tuu
 
Watu wengi kwenye mitandao hasa Twitter na JF wanajadili sana siasa, tena siasa ngumu. Kama uko nje ya nchi au kama hujawahi kufika Tanzania ila unapita kwenye Twitter na JF unaweza kudhani Tanzania hakuna amani kabisa.
😂😂😂😁😆 sina mbavu👐
 
Hakuna walichopata Gen Z wa Kenya zaidi ya kufa watu zaidi 70, kujeruhiwa zadi ya 400 na uharibifu mali. Huku wengine wakiwa na mashtaka ya looting
Naona unamtazamo hasi, wale walipoa baada ya kuona mafanikio, mtazamo wao ni tofauti na mitazamo ya watanzania ambao siku zote wanataka papo hapo na si kesho. Inawezekana wewe unaakili nyingi kuliko wakenya kwa sababu ni mtanzania ila mimi siwezi kuamini hivyo.
 
Vijana ndo wamekuwa wa Hovyo kabisa.
Redio zinachambua mpira asubuhi, umbea mchana, jikni mpira tena, usiku zjnaongelea ngono.

Vijana wapo busy na simba na yanga na ligi za Ulaya.
Itsas if vinaja hawana content vichwani, hawajitambui na hawajui walipo na waendako.

Vijana wa vyuo vikuu ndo huwezi kuwatofautisha na vijana wa form one. Wapo busy wamalize vyuo huku hawajui watafanya nini wakimaliza.


Hovyohovyo tu.
 
Uliambiwa UDSM ni sekondari iliyoboreshwa.
 
Kutembeza makava ya simu kwenye mabaa nayo unaita biashara, huo ni uzuraji
 
Kutembeza makava ya simu kwenye mabaa nayo unaita biashara, huo ni uzuraji
Endelea kukaa Kwa shemeji Yako ulitarajia utaletewa pesa hapo yaani shemeji Yako atakufukuza au akuoe na wewe halafu utaishia kufa masikini
 
Endelea kukaa Kwa shemeji Yako ulitarajia utaletewa pesa hapo yaani shemeji Yako atakufukuza au akuoe na wewe halafu utaishia kufa masikini
Umekalia KIGOGO au umekalia UPANGA?
 
Sawa haina shida na ndiyo maana ya demokrasia na uhuru wa maoni. Ila kumbuka pengine ungekuwa Gen Z wa Kenya ungekuwa ndiyo mmoja wa wale zaidi ya 70 waliokufa
 
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…