playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Hivi zigo na unconditionally bae.. Zina uzito sawa ?..from nyimbo hadi video?Nyimbo iliyotoka mwaka huu hai be nominated in ktma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi zigo na unconditionally bae.. Zina uzito sawa ?..from nyimbo hadi video?Nyimbo iliyotoka mwaka huu hai be nominated in ktma
Jifanye unakosea ili uonekane huijui wakati ndo ringtone ya demu wako hahahaaaaa..Kwa nyimbo ipi au kazi ipi.. Lupelo?
Nnachofurah mashabiki wengi wa diamond waelewa sana maana ukichallenge tu utasikia "MBONA WW SIYO MUELEWA"...nachekaga Santa na hapa nacheka tena hahahahahahaaaaaaa nambie muelewa ww salama?Mbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
Mkuu umenena kweli, hakuna jipya sanaUngekuwa mfatiliaji mkubwa ungejua kuwa ata aiyola, imefanyiwa promo sanaaa kama hii nyimbo ya raymond "kwetu" inavofanyiwa.
Afu let's face the reality, aiyola ina ujumbe gani mpya?? Ina melody gan mpya? Nyimbo imejaa taste ile ile ya diamond.
Usiseme una uelewa mkubwa wa muziki, sema una mpenda sana harmonize.
Zote good sanaaa ila zigo tuache utani iko best # team lessHivi zigo na unconditionally bae.. Zina uzito sawa ?..from nyimbo hadi video?
Sawa Mzee pamoqo mwanangu bengazuu.Zote good sanaaa ila zigo tuache utani iko best # team less
Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.Tatizo la ktma huwa na majina ya washindi mifukoni mwao kwishaaa mnaweza sema oooh hamonize lakini hata kunusa asinuse kwenye nomination ,, ktma ishaniboaga kitambooo kazi kukalili kuwapa tuzo wazee kwa game maana hakuna namna newcomer akitoa nyimbo hata ihit vipi haweza kupata best song sijajuaga kwa nini.
Wakimnyima harmonize safari hii kuna mkono wa sepetuga sio bure
belle 9 ananyota mbaya sana ya kukosa!tuzo hazimtaki kabisa huyu hakuna cha nini wala nini ni damu yake tu ndo ilivo...Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.
Yani icho ndo kisingizio...who is sepetu kwenye KTMA? Ndo tatizo la story za vijiweni na Instagram.Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.
Hahahahaaaaaa nikijibu hapa watu watashindwa kujua mzima nani mwehu nani ngoja niendelee kuperuzbelle 9 ananyota mbaya sana ya kukosa!tuzo hazimtaki kabisa huyu hakuna cha nini wala nini ni damu yake tu ndo ilivo...
Mwenzake kiba kabla ya kubebwa na kina wema mwaka jana,alilia sn kipindi cha nyuma mpk akajitoa ktma aliporudi tn ndo wakamfikiria na kumpa kamoja cha kufutia tears kwa wimbo wa dushelele,after that zikawa zinampenya tn licha ya kutoa ngoma kali km single boy...mpk alipokuja kupata msaada kweny tuta kupitia dadaz wa town..
Nani kakudanganya... Tulia uoneNyimbo iliyotoka mwaka huu hai be nominated in ktma
bora tu usijibu maana hakuna point saizi yako kwenye iyo comment iliyosheheni ukweli wa mambo!Hahahahaaaaaa nikijibu hapa watu watashindwa kujua mzima nani mwehu nani ngoja niendelee kuperuz
Anajitahid kwa kiki za town anaweza kupata hasa hii ngoma na rubyAbdul kiba vipi
Naona anapata umaarufu Kwa ujinga anaoufanya....!Baraka anaimba nini sasa? Labda SKENDO tu ndo zinampandisha chati. Harmonise hana SKENDO na yupo juu. Baraka KAWAIDA SANAAAAA
dah nimejikuta najisikia faraja,utadhani nipo na baby karibu ananiimbia-kweli ww ni heaven sentsitosema mapenzi basi, nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi, nilikufanya chaguo
Chaguo la moyo, kumbe ulipita njia
Na haya mambo ya uteam ht hyo ya upcoming anawez akaisikia kwny bombatuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming