Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Mbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
Nnachofurah mashabiki wengi wa diamond waelewa sana maana ukichallenge tu utasikia "MBONA WW SIYO MUELEWA"...nachekaga Santa na hapa nacheka tena hahahahahahaaaaaaa nambie muelewa ww salama?
 
Ungekuwa mfatiliaji mkubwa ungejua kuwa ata aiyola, imefanyiwa promo sanaaa kama hii nyimbo ya raymond "kwetu" inavofanyiwa.
Afu let's face the reality, aiyola ina ujumbe gani mpya?? Ina melody gan mpya? Nyimbo imejaa taste ile ile ya diamond.
Usiseme una uelewa mkubwa wa muziki, sema una mpenda sana harmonize.
Mkuu umenena kweli, hakuna jipya sana
 
Tatizo la ktma huwa na majina ya washindi mifukoni mwao kwishaaa mnaweza sema oooh hamonize lakini hata kunusa asinuse kwenye nomination ,, ktma ishaniboaga kitambooo kazi kukalili kuwapa tuzo wazee kwa game maana hakuna namna newcomer akitoa nyimbo hata ihit vipi haweza kupata best song sijajuaga kwa nini.
Wakimnyima harmonize safari hii kuna mkono wa sepetuga sio bure
 
Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.
 
Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.
belle 9 ananyota mbaya sana ya kukosa!tuzo hazimtaki kabisa huyu hakuna cha nini wala nini ni damu yake tu ndo ilivo...
Mwenzake kiba kabla ya kubebwa na kina wema mwaka jana,alilia sn kipindi cha nyuma mpk akajitoa ktma aliporudi tn ndo wakamfikiria na kumpa kamoja cha kufutia tears kwa wimbo wa dushelele,after that zikawa zinampenya tn licha ya kutoa ngoma kali km single boy...mpk alipokuja kupata msaada kweny tuta kupitia dadaz wa town..
 
Difensi mekanizim...lolote linawezekana belle9 hajawah pata tuzo KTMA sepetu mbna hamumtaji ?..achen hizo na pigeni kura kwa wingi.
Yani icho ndo kisingizio...who is sepetu kwenye KTMA? Ndo tatizo la story za vijiweni na Instagram.
 
belle 9 ananyota mbaya sana ya kukosa!tuzo hazimtaki kabisa huyu hakuna cha nini wala nini ni damu yake tu ndo ilivo...
Mwenzake kiba kabla ya kubebwa na kina wema mwaka jana,alilia sn kipindi cha nyuma mpk akajitoa ktma aliporudi tn ndo wakamfikiria na kumpa kamoja cha kufutia tears kwa wimbo wa dushelele,after that zikawa zinampenya tn licha ya kutoa ngoma kali km single boy...mpk alipokuja kupata msaada kweny tuta kupitia dadaz wa town..
Hahahahaaaaaa nikijibu hapa watu watashindwa kujua mzima nani mwehu nani ngoja niendelee kuperuz
 
Atapata ya kufutia machozi,basata ni jipi
 
Baraka anaimba nini sasa? Labda SKENDO tu ndo zinampandisha chati. Harmonise hana SKENDO na yupo juu. Baraka KAWAIDA SANAAAAA
Naona anapata umaarufu Kwa ujinga anaoufanya....!
 
sitosema mapenzi basi, nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi, nilikufanya chaguo
Chaguo la moyo, kumbe ulipita njia
dah nimejikuta najisikia faraja,utadhani nipo na baby karibu ananiimbia-kweli ww ni heaven sent
 
Acheni ujinga nyie " CHEKECHA CHEKETUA" na NAGHARAMIA zitazoa tuzo zote hizo, Kama ndiyo mnawaza ujinga sijui Aiyola, Nana bora mkacheze pool table kuliko kupoteza muda kwa kushabikia nyimbo mfu.
 
tuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming
Na haya mambo ya uteam ht hyo ya upcoming anawez akaisikia kwny bomba
 
Back
Top Bottom