Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema shughuli za uharakati lazima isimamie misingi ya kudumisha amani, upendo na kuunganisha taifa na siyo kulitenganisha taifa na kupandikiza chuki na hofu katika jamii