Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
 
Hiyo ni tafsiri uliyoitaka wewe, na sasa unataka na wengine tuchukue tafsiri yako ya kipuuzi?

kama wewe unanufaika na hiyo tafsiri, fahamu pia kwamba wengine hawakuona hivyo unavyofikiri wewe.
 
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.

..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.

..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.

..Na ukiona muendesha mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "
 
In fact,
amedogoshwa mno na Katuga,

In fact,
huenda ana pitia msongo mkali sana wa mawazo hivi sasa, hasa akitafakari alichopitia kizimbani.

hii wiki yote anaweza asibeti kabisa 🐒
 
Heche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
a05095d9-fd9b-47cf-a5a6-06693259b464.jpg.webp
Unasema...!!!
 
..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.

..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.

..Na ukiona muendeshe mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "
Katuga katoa shutuma dhidi ya Heche, ambaye hakuwa mjibu mashtaka.
Na katika hizo shutuma alizotoa hajathibitisha hata moja; sasa Heche atahangaika vipi?

Kama Katuga anataka aanzishe kesi dhidi ya Heche kuhusu hayo akiyodai, na Heche atapata fursa ya kujitetea juu yake.

Huyu mleta mada anafikiri kuzungumzia tu hayo mahakamani inatosha kumhukumu Heche?
 
..ndio maana Katuga alipoleta video Heche akamjibu kuwa ni "AI."

..Na Katuga akashindwa kuendelea na maswali yake.

..Na mahakama haikujielekeza kutafuta nani ni mkweli kati ya Katuga, na Heche.

..Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba mahakamani kuna taratibu za kutumia ushahidi [ vielelezo ]uwe wa maandishi, video, au kitu kingine.

..Kama taarifa kuhusu miamala ya John Heche zingekuwa na uzito ktk shauri basi zingetumika taratibu za kimahakama kupata taarifa hizo.
 
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
sijaona chochote cha maana kwa katuga

watu wamehudhulia mahakaman kuskiliza kesi ya msingi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu

lakini cha kuskitisha wakili wa serikali baada ya kuuliza maswali kuhusiana na ile kesi ambayo ni UHAINI

Ana base kuuliza maisha binafs ya mtu halaf bado tu machawa wanamsifia

wakili unamuuliza shahid jina la John umelipataje
umesoma sijui shule gan
una magar mangapi
ili milion 20 iiyoingia kwenye acc yako imetoka kwa nani
unajua kama mahakama si mama yako

sasa ebu tuelezane ukweli hayo maswali yana uhusiano gani na ile kesi ya msingi?

lakin bado machawa hapo wanampamba katuga kwa maswali ya kijinga namna hiyo
 
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Hivi shule ukienda kusomea ujinga? Unamsifia Katuga ambaye amejigeuza Juma Lokole kwa kuleta udaku mahamani.
 
Nani anakua mjanja mahakamani Kiongozi. Mahakamani hakuna mashindano ya ujanja wa mitaani wala majukwaani. Mahakama inatafuta ukweli kisheria. Mwanasiasa au raia yeyote anayekuwa makini na mtulivu mahakamani, haonyeshi uoga, bali anaonyesha heshima kwa mamlaka ya sheria (Respect for the Rule of Law). Kwenda mahakamani na 'ujanja wa jukwaani' ni tiketi ya moja kwa moja ya kwenda gerezani kwa kosa la kutoa ushahidi wa uongo (Perjury).
 
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Kwa hiyo CDF, IGP na DCI inawabidi vichwa vyao watie maji kwa maandalizi ya kunyolewa.
Let's wait and see, eventually the factual truth will be exposed.
 
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.

Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!

Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Kesi ni ya uhaini sio money laundering
 
..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.

..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.

..Na ukiona muendesha mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "

Pesa za matumizi yake binafsi yanahusu nini chama Heche amekua mbunge miaka 10 hana marafiki ana biashara hiyo inamahusiano gani na kesi ya Uhaini ?
 
Back
Top Bottom