Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Hiyo ni tafsiri uliyoitaka wewe, na sasa unataka na wengine tuchukue tafsiri yako ya kipuuzi?Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
In fact,Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Heche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
Nshomile chawaHeche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
In fact,
amedogoshwa mno na Katuga,
In fact,
huenda ana pitia msongo mkali sana wa mawazo hivi sasa, hasa akitafakari alichopitia kizimbani.
hii wiki yote anaweza asibeti kabisa 🐒
Katuga katoa shutuma dhidi ya Heche, ambaye hakuwa mjibu mashtaka...sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.
..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.
..Na ukiona muendeshe mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "
ok.🐒View attachment 3672673Dogo Unachonga Sana..!!
Katuga katoa shutuma dhidi ya Heche, ambaye hakuwa mjibu mashtaka.
Na katika hizo shutuma alizotoa hajathibitisha hata moja; sasa Heche atahangaika vipi?
Kama Katuga anataka aanzishe kesi dhidi ya Heche kuhusu hayo akiyodai, na Heche atapata fursa ya kujitetea juu yake.
Huyu mleta mada anafikiri kuzungumzia tu hayo mahakamani inatosha kumhukumu Heche?
Natamani sana siku moja iwepo fursa ya namna hiyo; ikiwa kama njia ya kujisafisha uchafu mwingi uliolichafua taifa hili...sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.
sijaona chochote cha maana kwa katugaSikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Hivi shule ukienda kusomea ujinga? Unamsifia Katuga ambaye amejigeuza Juma Lokole kwa kuleta udaku mahamani.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Kwa hiyo CDF, IGP na DCI inawabidi vichwa vyao watie maji kwa maandalizi ya kunyolewa.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Kesi ni ya uhaini sio money launderingSikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
..sasa fikiria na Lissu angekuwa na taarifa za akaunti za benki za Mama Abduli, na wote wanaomnyanyasa ingekuwaje.
..alichofanya Katuga hakikupaswa kufanyika mahakamani. Kitendo kile kimeinajisi mahakama na ofisi ya muendesha mashtaka.
..Na ukiona muendesha mashtaka amefanya kile alichofanya Katuga ujue kwamba hana kesi. Watoto wa mjini wanasema, " amekata pumzi. "