Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

iran inasaidiwa mzee soma hapo

The Arms Control Association, a Washington-based non-governmental organisation, says Iran's missile programme is largely based on North Korean and Russian designs and has also received Chinese assistance.

sasa nakushangaa kusikia israel inasaidiwa wivu wa kike na gubu vimekujaa acha tabia za kike wewe
 
Wewe ulikwepo wakati hiyo 99% ya makombora yanatunguliwa hewani, au ulisikia kupitia media za magharibi?
haihitaji media za magharibi kujua hilo, kama yasingetunguliwa inamaana yangefikia targert ambapo ni israel, sasa iran wenyewe walisema wamerusha makombora na drones 300, ila cha ajabu wakati yamerushwa huko nchini israel watu walikua zao ma club wanakula bata kama kawaida.. sasa kama yangefika si tungeona impact mzee? au we unafikiri misiles 300 ni mchezo?
 
Kwani missiles ngapi zimepiga target?
 
only 9 ndo zimefika israel kati ya 300 hundred..na hazijaleta any big impact, ndo ile unasikia msuli tembo mafanikio sisimizi.

Sawa, 9 ni nyingi sana. Naamini hata Iran alijua kuwa lazima arushe nyingi ili nyingine zifanikiwe kupita na kupiga.

Kama zimepiga basi zimepiga!. Huwezi kasema Israel hajapigwa!
 
sasa nakushangaa kusikia israel inasaidiwa wivu wa kike na gubu vimekujaa acha tabia za kike wewe
Noana mke wa Netanyahu umeamizwa na kipigo cha juzi mpaka unaandika comment kumi kumi kwa wakati mmoja.
Kujibizana na mwanamke mwenye kupenda ligi kama wewe ni kupoteza muda na kukosa kazi ya kufanya.

Acha nikuache uamini unachoamini kuhusu Israel na mabwana zenu Marekani, na mimi niamini ninachoamini kuhusu Iran ambayo ni jeshi la mtu mmoja linalowalaza na viatu wababwe uchwara wa dunia US, UK, France na wengine wengi wa aina hiyo.
 
The Arms Control Association, a Washington-based non-governmental organisation, says Iran's missile programme is largely based on North Korean and Russian designs and has also received Chinese assistance.
Kumbe ni porojo kutoka Washington ambao ni adui namba 1 wa Iran, nilifikiri hizi habari zimezungumziwa na North Korea yenyewe au Russia.
 
Sawa, 9 ni nyingi sana. Naamini hata Iran alijua kuwa lazima arushe nyingi ili nyingine zifanikiwe kupita na kupiga.

Kama zimepiga basi zimepiga!. Huwezi kasema Israel hajapigwa!
Endelea na shughuli zako mkuu, huyo myahudi wa Iringa atakuchosha na kukupotezea muda wako bure.
 
Halafu walivyokuwa waongo wanasema eti 99% zimedakwa at the same time wanasema kombora 9 zimepenya.

Hebu tufanye mahesabu. Makombora 9 kati ya 300 ni asilimia 3 tatu hiyo na wala siyo asilimia 1.

Jamaa wanadanganya hadi hesabu ya darasa la tatu
 
Wanawadanganya wajinga wao kama wakina francoo1 na wajinga wengine.

Sisi wenye akili timamu uongo wao umetupitia mbali.
 
Sawa, 9 ni nyingi sana. Naamini hata Iran alijua kuwa lazima arushe nyingi ili nyingine zifanikiwe kupita na kupiga.

Kama zimepiga basi zimepiga!. Huwezi kasema Israel hajapigwa!
Yan urushe kombora 300 alaf zipite 9? Je utakua umetumia nguvu kiasi gn?
Kama iran anajua ili zipite tisa ni lazima arushe 300 basi bado hana technolojia ya makombora
 
Kipigo gani mkuu, aliyepigwa kati ya iran na israel ni nani? Jeshi la Mtu mmoja unalijua wewe? Labda useme north korea angalau, ila iran bado mchumba tuu.

Umejaa wivu wa kike wewe tutakuvalisha dera we bi hadija
 
Kumbe ni porojo kutoka Washington ambao ni adui namba 1 wa Iran, nilifikiri hizi habari zimezungumziwa na North Korea yenyewe au Russia.
Toa were porojo zako kutoka upande wako wewe tuzione
 
Yan urushe kombora 300 alaf zipite 9? Je utakua umetumia nguvu kiasi gn?
Kama iran anajua ili zipite tisa ni lazima arushe 300 basi bado hana technolojia ya makombora
Kombora hazikuwa 300 .hiyo 300 ni mchanganyiko wa amunation zote
 
Kwa nini hajazuia zote?
Marekani kajaribu kuzuia kashindwa πŸ˜‚πŸ˜‚, Uingereza imejaribu kuzuia imeshindwa πŸ˜‚πŸ˜‚, mfaransa na mjerumani nao walijaribu kuzuia wakashindwa πŸ˜‚πŸ˜‚, Jordan, Saudi Arabia, Iraq, Syria zote zikafunga anga zao na kuweka mitambo ya kuzuia makombora yenye kasi zaid ya upepo wa kipupwe zikashindwa πŸ˜‚πŸ˜‚, Israel ambae ndio mlengwa akaweka vizuizi nchi nzima pia akashindwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kupenya hivyo vizuizi vyote vya nchi zinazoaminika kuwa na mitambo bora ya kuzuia makombora peke yake ni ushindi mkubwa kwa Iran. Ndio maana Mmarekani kamwambia kijana wake aachane na hilo dubwasha linaloitwa Iran, maana sio la kawaida na halidhibitiki kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…