6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #121
Huu ujinga mnaolishana mkiwa tel aviv ya vingunguti ndo tunaoukataa. Tuliwahi kudanganywa kuwa Israel ina intelejensia kali kuliko nchi yoyote duniani, lakini kilichofanyika October 7 kimeiacha uchi na aibu kubwa kuwa haina intelejensia yoyote kama tulivyoaminishwa na waisrael wa bonyokwa.Sema ww jamaashamba sana unashangaa ballistic missiles kupiga km 2000 nenda majukwaa ya upishi kule kashabikie vitunguu vinaharuf NZur Iran inauwe wa kurusha makombor ila sio kwmb Israel kapitwa anayo zaid yake apo middle east yeye ndio kinara na pia anazo nukes ulichokiona Jana kidog San kwake akiamua kupiga targets zake pale Gaza alikua anapiga public areas sabab hamas wamejichanhany na raia pia walitumia maeneo ya Rai kurusha makombola kiufupi waliwatoa mhanga watu wasio hatia ila sas akisem atumie ballistic missiles drones na fight jets kielekea Iran atakichafua zaidi maan Iran kuna maeneo ya kupiga kama nuclear sites military area n.k na itakuwa hell on earth
Imagine kundi la watu linaingia katika ardhi yake na kufanya operation ya kuuwa raia na wanajeshi kadhaa, kisha kuteka na kuondoka na kundi la watu zaidi ya elf 2 bila kukamatwa, kuzuiwa wala kujulikana kuwa wamefanya tukio. Sasa hiyo intelejensia tuliodanganywa ilikuwa iko wapi? Maana watu kuvuka boda kuuwa na kuteka maelf ya watu sio kazi ndogo. Hata Rwanda ambayo ni nchi ndogo isiyokuwa na intelejensia kama ile tuliyoambiwa anayo muisrael, ni vigumu kundi la waasi linaweza kutoka Congo na kuingia katika nchi ile likafanya mauaji na kutoka na kundi la watu kama ilivyofanywa Israel na Hamas vijana wasiokuwa na silaha za maana wala mafunzo yoyote rasmi ya kijeshi.
Pia tulidanganywa kuwa Israel ilikuwa na makomando walioenda kuwaokoa mateka wao huko Intebe Uganda, lakini imekuja kudhihirika kuwa zote hizo zilikuwa ni propaganda uchwara. Maana kama kweli wana makomando wa kweli, basi wangekuwa wameshawaokoa mateka wao kitambo hapo Gaza.
Haiingii akilini makomando waweze kuja kuwaokoa mateka wao hapa Uganda KM zaidi ya elf 6 kutoka Israel alaf washindwe kuwakomboa wale waliopo Gaza ambapo ni KM 200 tu kuwafikia.
Hata hizo silaha unazosema ni porojo tu. Kama kweli ingekuwa na silaha unazosema basi isingelilia msaada wa silaha kutoka Marekani, UK na Ujerumani ili kupambana na kakikundi kadogo tu ka vijana wasiozidi elf 20 tena hawana ndege wala kifaru.
Bob Marley: "you can fool some people some times, but you can't fool all the people all the times"