Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa

Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu

Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
 
hao Dortmund wamecheza fainali ya mechi moja, matokeo ya mechi ya Dar kwa yanga hayawapi wala kuwanyima ubingwa.
 
Mtu katoa tahadhari, lakini anaishia kupopolewa. Mnadhani hata kule kambini Naby hawaambii wachezaji kuwa "msijiamini kupita kiasi kuwa tayari mmeshakuwa mabingwana na kujaa mihemuko. Remember, it's not over until it's over". Hafu mleta uzi akitoa tahadhari anaaza kutukanwa.
 
Hafu [emoji777]

Halafu/Afu [emoji736]

Yote kwa yote usipuuzwe una hoja ya msingi sana Ndugu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom