Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umeandika kama umeshiba ugali na Sukari ...[emoji16][emoji16]
Hiki ni kipimo cha udumavu wa akili, halafu usikute huyu naye ndiyo wale wachaambuzi uchwara.Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
Natamani kucheka lakini naogopa mkuuDortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
hao Dortmund wamecheza fainali ya mechi moja, matokeo ya mechi ya Dar kwa yanga hayawapi wala kuwanyima ubingwa.Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu
Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
Hafu [emoji777]Mtu katoa tahadhari, lakini anaishia kupopolewa. Mnadhani hata kule kambini Naby hawaambii wachezaji kuwa "msijiamini kupita kiasi kuwa tayari mmeshakuwa mabingwana na kujaa mihemuko. Remember, it's not over until it's over". Hafu mleta uzi akitoa tahadhari anaaza kutukanwa.
Yanga chini ya Prof. Nabi haina Siasa....ni full akili kumteketeza Adui....[emoji16][emoji16]Lisemwalo laja, kma Yanga akienda na akili hizi za kisiasa kesho anakufa mapema tu nmekaaaa paaaleeee niite SIMBA