After final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtani hivyo hii furaha inaisha lini au ndo tunaenda nayo hadi msimu ujao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah hadi wewe unatubalagaza hivi rafiki zako wa upande wa pili?Yametimiaaaaa
Usijali Mtani vitu vya kawaida sana hivi. Teh teh π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniiiii poleeeee
Hahahaaa! Lol.After final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan nacheka huku naogopaaa, nyie mkishinda mkichukua ubingwaaa woiiiiiii.
Nina mwananchi hapa kwangu jana nikawa kwenye mood mwenzangu kwenye masikitiko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mia Alhamdulillah sijambo kabisa mdogo wangu.
Ndo hivyo tunaendelea na mishe zingine sa.
ukishakuwa overated ni rahisi sana kubondwaDortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa
Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu
Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
Mimi binafsi sitaki ufahari kupitia yangaSasa Kisa hupendi yanga ndio unaiombea ubaya na nitimu ya Tanzania kweli wewe kilaza.
Wakishinda ndio fahari yakila Mtanzania
Wamefungwa πππ
Jamani msichukulie pesonoDaah hadi wewe unatubalagaza hivi rafiki zako wa upande wa pili?
Kweli jamani?
Ntaikimbiaaa JF kwa mudaaaHahahaaa! Lol.
Ikiwa hivyo utajutttrraaaa Ntaani. [emoji1787][emoji1787]
Kwa kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijali Mtani vitu vya kawaida sana hivi. Teh teh [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Ukiowa mwanamke kama huyu umekwisha, pesa ya chakula Nyumbani ndio anakwenda kukulogea kwa waganga.Yametimiaaaaa
Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.Mtani hivyo hii furaha inaisha lini au ndo tunaenda nayo hadi msimu ujao. π€£π€£π€£π€£
Hahahaa! LolNtaikimbiaaa JF kwa mudaaa
π π π Uuwiiii!!Furaha bila taji lolote ni uchawi na ukichaa, hapa ndio mtawajuwa wanaochota nyayo zenu mitaani na kuiba chupi zenu kupeleka kwa waganga kuwaroga.
Kuchukia mafanikio ya mwingine ni uchawi kamili.
Hahahaa! Mwambie ndo mpira huo. ππNina mwananchi hapa kwangu jana nikawa kwenye mood mwenzangu kwenye masikitiko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole babu mwenye phd yake feki mjini...Ukiowa mwanamke kama huyu umekwisha, pesa ya chakula Nyumbani ndio anakwenda kukulogea kwa waganga.
Sasa hapa si wewe ndio umechukulia serious, yani nimekutekenya kidogo tu unakojowa.Pole babu mwenye phd yake feki mjini...
Yani sio mpk unioe ndo nikuloge hata ww naweza kukuloga huko huko uliko..
Mnaumia sana na mimi naona..yani mnakerwaa mno kuliko mnavyokerwa na joto lenu huko daslam ...sasa ndo nitawekera mpk mnyooke.. hasa kwa nyie baadhi yenu mnaochukulia vitu serious.
Yanga lia liaπ€£π€£π€£π€£Mtasema mengi wale mabwana zenu waarabu wanachinjwa, chaka lenu linapotea
Kukojowaa...unaweza kweli hata kumkojolesha mtu ww...Sasa hapa si wewe ndio umechukulia serious, yani nimekutekenya kidogo tu unakojowa.