Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya ofisi zao , kidogo walibugia lakini pia kiasi fulani walipeleka kwenye akaunti za chama chao kwenye ngazi za wilaya na mikoa , ulikuwa ni utaratibu wa " Pata nipate " mara kadhaa ulikuta wazee wa ccm wakicheza bao kwenye ofisi zao , huku wakisubiri posho za hapa na pale kutoka kwa watia nia mbalimbali .

Utaratibu huu ndio uliokiimarisha chama chao , hapa ndipo kulitengenezwa timu za kampeni za wagombea mbali mbali , zikiwemo pia timu za wanunua shahada za wanachi mitaani ili kutengeneza graph ya ushindi , hawa wafia chama ambao pia kwa kiasi fulani walikuwa wachumia tumbo ndio ilikuwa nguzo kuu ya ushindi ya ccm , walijitolea usiku na mchana kukipigania chama chao hata kwa njia za haramu kama uchawi na rushwa za chumvi na michele , hawa hawakustahili kutimuliwa kwenye maskani zao , hawakustahili kunyang'anywa mapato hata ya kulaza magari kwenye ofisi za chama chao , huko ni kuuwa chama .

Kuingia kwa Kamati ya kuhakiki mali za chama na kunyang'anya miradi yote ya chama ikiwemo hata miradi duni ya kulaza magari na kuipeleka ofisi ndogo Lumumba kumekifanya chama kupoteza wafia chama , kimeua morali wa kujitolea kwa wapambanaji wake , hii ndio sababu kubwa ya ccm kupoteza watu na kuogopa uchaguzi nchi nzima , baada ya utafiti wao wamelijua hili na ndio sababu ya Watendaji kukimbia kupokea fomu za wagombea wa upinzani ili kuogopa kushindwa , wameua chama chao kizembe baada ya kukosa ubunifu wa kukusanya mali za chama chao bila kuumiza wanachama wake waziwazi , sasa hivi kwenye matawi ya ccm hata mtu akitaka kununua kalamu ya mia 2 ni lazima afunge safari kwenda ofisi ya Wilaya ili kuomba hela , ni nani atahangaika na jambo hilo ?

Asante Mungu kwa kusikia kilio cha Watanzania .
 
WAKATI JPM anaingia madarakani kuikuwa na kiasi gani kwenye ccount ya ccm sikulikuwa hamna kitu ? kaangalie sasahivi wewe ukipewa madaraka kidogo tu unauza nchi eti walikuwa wanakula kidogo zingine wanapeleka fool you
 
😆😆😆😆😆
 
Hata mbwa wako anajua CCM imeimarika maradufu tangu mazezeta waungane

State agent
FB_IMG_1572447576674.jpg
 
Attachments

  • Hapa kazi tu.jpg
    Hapa kazi tu.jpg
    96.8 KB · Views: 10
  • Ccm mpinzani.jpg
    Ccm mpinzani.jpg
    26.2 KB · Views: 12
  • Ushindi wa kishindo.jpg
    Ushindi wa kishindo.jpg
    83.7 KB · Views: 16
WAKATI JPM anaingia madarakani kuikuwa na kiasi gani kwenye ccount ya ccm sikulikuwa hamna kitu ? kaangalie sasahivi wewe ukipewa madaraka kidogo tu unauza nchi eti walikuwa wanakula kidogo zingine wanapeleka fool you
Umejuaje kma iyo acc haikuwa na kitu na unajua sasa hivi inakiasi gani na unajua kinatoka wapi? Kma hujui, kwa taarifa yako ni kodi zako. Ndyo maana CAG assad katolewa fasta fasta ili pesa zihamishiwe lumumba kwa maandalizi ya uchaguzi 2020. Nia ya magful ni kupita bila kupingwa. Huu ndyo mchezo wake toka ni mbunge wa chato.
 
Wafia chama na viherehere wote wa lumumba wameingia mitini chama kimebaki na wachumia tumbo a.k.a wajasilia siasa akina Polepole, Bashiru, Bashite, Muro, Lemutuzi, Mnyeti, Hapi, Gambo, Jiwe baba yao ambao hawajui hata kampeni huwa inafanywaje, mikakati ya ushindi inapangwaje, sasa kilichobaki kutumia dola na vitimbi.
 
Mwenyekiti na secretariat I yake wote ma tapeli wananchi wamewajuwa ndio maana maeneo mengi wameshindwa kusimamisha wagombea
 
Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya ofisi zao , kidogo walibugia lakini pia kiasi fulani walipeleka kwenye akaunti za chama chao kwenye ngazi za wilaya na mikoa , ulikuwa ni utaratibu wa " Pata nipate " mara kadhaa ulikuta wazee wa ccm wakicheza bao kwenye ofisi zao , huku wakisubiri posho za hapa na pale kutoka kwa watia nia mbalimbali .

Utaratibu huu ndio uliokiimarisha chama chao , hapa ndipo kulitengenezwa timu za kampeni za wagombea mbali mbali , zikiwemo pia timu za wanunua shahada za wanachi mitaani ili kutengeneza graph ya ushindi , hawa wafia chama ambao pia kwa kiasi fulani walikuwa wachumia tumbo ndio ilikuwa nguzo kuu ya ushindi ya ccm , walijitolea usiku na mchana kukipigania chama chao hata kwa njia za haramu kama uchawi na rushwa za chumvi na michele , hawa hawakustahili kutimuliwa kwenye maskani zao , hawakustahili kunyang'anywa mapato hata ya kulaza magari kwenye ofisi za chama chao , huko ni kuuwa chama .

Kuingia kwa Kamati ya kuhakiki mali za chama na kunyang'anya miradi yote ya chama ikiwemo hata miradi duni ya kulaza magari na kuipeleka ofisi ndogo Lumumba kumekifanya chama kupoteza wafia chama , kimeua morali wa kujitolea kwa wapambanaji wake , hii ndio sababu kubwa ya ccm kupoteza watu na kuogopa uchaguzi nchi nzima , baada ya utafiti wao wamelijua hili na ndio sababu ya Watendaji kukimbia kupokea fomu za wagombea wa upinzani ili kuogopa kushindwa , wameua chama chao kizembe baada ya kukosa ubunifu wa kukusanya mali za chama chao bila kuumiza wanachama wake waziwazi , sasa hivi kwenye matawi ya ccm hata mtu akitaka kununua kalamu ya mia 2 ni lazima afunge safari kwenda ofisi ya Wilaya ili kuomba hela , ni nani atahangaika na jambo hilo ?

Asante Mungu kwa kusikia kilio cha Watanzania .
Unajua kujifariji
 
WAKATI JPM anaingia madarakani kuikuwa na kiasi gani kwenye ccount ya ccm sikulikuwa hamna kitu ? kaangalie sasahivi wewe ukipewa madaraka kidogo tu unauza nchi eti walikuwa wanakula kidogo zingine wanapeleka fool you
hizo zilizopo jpm kaenda kuficha tu huko na kukwapua fedha za serikali ili ajaribu kuwaoneaha mabwiga kama nyinyi kuwa ccm iko imara
 
Mwenyekiti na secretariat I yake wote ma tapeli wananchi wamewajuwa ndio maana maeneo mengi wameshindwa kusimamisha wagombea
Wapinzani wanahujumiwa hawapo huru hakuna usawa wa kufanya siasa kuna unyanyasaji mwingi toka CCM kwa wapinzani
 
Wafia chama na viherehere wote wa lumumba wameingia mitini chama kimebaki na wachumia tumbo a.k.a wajasilia siasa akina Polepole, Bashiru, Bashite, Muro, Lemutuzi, Mnyeti, Hapi, Gambo, Jiwe baba yao ambao hawajui hata kampeni huwa inafanywaje, mikakati ya ushindi inapangwaje, sasa kilichobaki kutumia dola na vitimbi.
Na pesa nyingi hupigwa kwa visingizio kuwa wanaitumia kuua kudhoofisha chadema na upinzani kwa ujumla, wajanja wachache wanakula pesa za CCM kama mchwa kwa mgongo wa kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Back
Top Bottom