Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

CCM huchukua pesa Hazina BOT kienyeji pasipo idhini ya bunge ndiyo maana walimtoa gavana Ndulu baada ya kuwakatalia tabia ya kuchota pesa BOT kienyeji kwani inavuruga uchumi na kudidimiza thamani ya shilingi
 
Mkuu shukrani sana kwa kuelimisha
 
Atashindwa vibaya sana ! Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
CCM acha kuwaogopa chadema pambana mshindi halali apatikane
 
Pongezi kea awamu ya 5 kubana matumizi na kuzuia rushwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…