Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji3]
 
Hahaaaaa chapati watakuwa hawakunji hata mama naye ana mdomo so mtoto wa nyoka ni nyoka.
Msema ukweli mpenzi wa Mungu zari huo mdomo bora angeziacha lips zake za zamanii tu,na hiyo make up itakuwa alipakwa na timu kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa ndio wanaume ambao had leo hawajaoa wamekalia kusoma vitu wanavoandika wanawake .. Utabaki ivoivo na umbea wako kama jike. Wanume wenzio wanapakuliwa chakula mezani saaiz. Pole kwa kua limekupata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume km mabintiii
 
Msema ukweli mpenzi wa Mungu zari huo mdomo bora angeziacha lips zake za zamanii tu,na hiyo make up itakuwa alipakwa na timu kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi alitengeneza huo mdomo? Maana doh kweli Mpaka makeup Mungu anamuona aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…