Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora wawe na midomo tu make wasipokua nayo TEAM DNA mpo.standby nawaona nawaonaaaDiamond anawaharibia watoto midomo
Esma kapakwa make up kawa ka jini maimuna aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti majivu
Mtoto wa Diamond Platnumz, Chibu Dangote, Nassib(In Wema voice). Una lingine?
Wadhamini kina nanii wamegomaa aubora wawe na midomo tu make wasipokua nayo TEAM DNA mpo.standby nawaona nawaonaaa
Kuna mambo si ya kulazimisha, moja wapo ni MAKE UPEsma kapakwa make up kawa ka jini maimuna aiseeView attachment 469571View attachment 469572
Hahaaaaa chapati watakuwa hawakunji hata mama naye ana mdomo so mtoto wa nyoka ni nyoka.Diamond anawaharibia watoto midomo
Achana na hao mashabiki maandazi wanataka kusifiwa tu hawajui raha ya ubuyu eeehsamahani kaka....!!!
aliyekutuma muambie hujanikuta
Hata kama sijaoa ila nna maisha yangu full sasa wewe muuza k uwanja wa fisi
Msema ukweli mpenzi wa Mungu zari huo mdomo bora angeziacha lips zake za zamanii tu,na hiyo make up itakuwa alipakwa na timu kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa chapati watakuwa hawakunji hata mama naye ana mdomo so mtoto wa nyoka ni nyoka.
Izi makeup jameeeenii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Esma kapakwa make up kawa ka jini maimuna aiseeView attachment 469571View attachment 469572
Bongo hamna ma make up artist wazuri sasa wana Mpaka mtu make up ka Analia, ESMA amekua ka jini linapaa.Kuna mambo si ya kulazimisha, moja wapo ni MAKE UP
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume km mabintiiiHawa ndio wanaume ambao had leo hawajaoa wamekalia kusoma vitu wanavoandika wanawake .. Utabaki ivoivo na umbea wako kama jike. Wanume wenzio wanapakuliwa chakula mezani saaiz. Pole kwa kua limekupata
Yani unapakwa mtu unakuwa ka unapaaIzi makeup jameeeenii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hivi alitengeneza huo mdomo? Maana doh kweli Mpaka makeup Mungu anamuona aiseeMsema ukweli mpenzi wa Mungu zari huo mdomo bora angeziacha lips zake za zamanii tu,na hiyo make up itakuwa alipakwa na timu kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangYani unapakwa mtu unakuwa ka unapaa