Hivi kwani hata unenepeje mdomo huwa unanenepa lips??angalia pic zake za zamaniHivi alitengeneza huo mdomo? Maana doh kweli Mpaka makeup Mungu anamuona aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bongo hamna ma make up artist wazuri sasa wana Mpaka mtu make up ka Analia, ESMA amekua ka jini linapaa.
Za zamani naona tofauti alikuwa tubonge nadhani ilikuwa haionekani.Hivi kwani hata unenepeje mdomo huwa unanenepa lips??angalia pic zake za zamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] hana sokoooo
Duh!!!!tifa utadhani ana kwashakoo uko kichwani ptuu
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mtu ana nafasi ya kuchagua malezi ya kumpa mwanae,
Mtoto wangu wa kike ataweka dawa kwenye nywele zake baada ya kuondoka kwangu.
Yan kamharibu mnooo sjui Foundation ilikua inaexpire so akabid aimalizie kwa zari [emoji35]Zari amshitaki huyo Mpaka makeup kambandika mi foundation hivi kwanini watizii haheshimu kazi zao jamani
Ohooooo!!!Shoga huu ubuyu wa uzee wa Zari natafuta pa kuumung'unyia nakosa!
Yani leo kutwa nzima nimeshika mdomooooo!
Jamani Zari kazeekaje? Uwiiiiiiiii
Na sio leo tu,tokea walipoenda clouds picha zilizua kizaazaa,makeup anajaza usoni lakini wapi!
Looh shkmoo filters.[emoji13] [emoji119]
Anabei kweli ila ndo kachemka hatariHafu huyu bei zake ziko juu ila ndo kawaharibu kabisa mbona Nancy sumari alimpaka vzuri
Ohooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani kaka....!!!
aliyekutuma muambie hujanikuta
Hizo nywele mi mtu mzima nkisuka nalala kichwa juu juu... Kuna style za watoto hizo sio. PeriodHamna mbona wengi tu wamesema
Nimeona humu hata washabiki wa mondi wameongelea hilo, mna tofautiana tone tuu.
Duh!!!!Huo mdomo wa zari kama jokeli
Ohoooo!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Esma kapakwa make up kawa ka jini maimuna aiseeView attachment 469571View attachment 469572
We acha tuu...Na kuna watu wametega camera kutaka kumfotoa hata akiongea loh
Mpaka makeup apelekwe centralYan kamharibu mnooo sjui Foundation ilikua inaexpire so akabid aimalizie kwa zari [emoji35]