Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] camera 2600 at work.....

watamkomesha Leo na tecno zetu picha zitatoka negative balaaa
Unajua uzuri wa vitecno vyetuu ni vya ukweli vinakukumbusha uhalisia wa facial yako gradually....

Zari kiboko anaedit hadi APPLE mezani nilimnyooshea mikono[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
We acha tuu...

Kuongea ananyoosha mdomo sijui anaficha nini ndani ya mdomo!

Kucheka sasa hathubutuu, uliona interview anachekea ndani ya kikoti chake chekunduu....
Wabongo wamemnanga mno hadi hana confidence
 
Arobaini vipi huyo mtoto si alizaliwa sijui mwaka juzi au jana kama sikosei
 
Hizo nywele mi mtu mzima nkisuka nalala kichwa juu juu... Kuna style za watoto hizo sio. Period
Ishu sio your view ishu ni wazazi ndio wenye maamuzi, huwezo ukasema siyo stail ya mtoto "period" wakati huyo siyo mtoto wa kwanza wala hatakuwa kuwa wa mwisho kusuka hivo.
So may be maoni yako ni sawa kwa stail yako ya malezi, ila wazazi dogo huyo wako huru kufanya wanacho taka kwa mtoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…