BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unanichimbaYupo anaekufanya ujione mwepesi kila siku.....
Shost nilichoka nilivyomuona ndo anaingia clouds! Mwanzo ckujua kama ni yeye, na alivyokuwa anajichetua na hiyo singeli ndo kabisa alizidi kuharibuu...Shoga huu ubuyu wa uzee wa Zari natafuta pa kuumung'unyia nakosa!
Yani leo kutwa nzima nimeshika mdomooooo!
Jamani Zari kazeekaje? Uwiiiiiiiii
Na sio leo tu,tokea walipoenda clouds picha zilizua kizaazaa,makeup anajaza usoni lakini wapi!
Looh shkmoo filters.[emoji13] [emoji119]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi sawa [emoji38]Ishu sio your view ishu ni wazazi ndio wenye maamuzi, huwezo ukasema siyo stail ya mtoto "period" wakati huyo siyo mtoto wa kwanza wala hatakuwa kuwa wa mwisho kusuka hivo.
So may be maoni yako ni sawa kwa stail yako ya malezi, ila wazazi dogo huyo wako huru kufanya wanacho taka kwa mtoto wao.
Role model wa wadada wa mjini????? [emoji133] [emoji133] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Vipi Role Model wa wadada wa mjini alikuwepo?!
Fureshi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi sawa [emoji38]
Hata kwenye interview alisemelea kwa Domo kuwa eti haongei kiswahili chake ni kibaya so anaogopa watanzania watamcheka!?! Ndo Gea akamtoa wasiwasi kuwa aongee tuu hakuna wa kumcheka!Hahaaaaaaa zari ana hela siakayatengeneze tu vzuri maana wabongo nao wakishupalia mapungufu mweeeh hadi maskini Dada wa watu huwa hajiamini loh
Mmmmhh witn.... Hakusema haongei kw kua ni kibaya bhn, bali alisema haongei kwa sababu anakosea kuongea so anaogopa watu watamcheka.Hata kwenye interview alisemelea kwa Domo kuwa eti haongei kiswahili kwa kuwa ni kibaya anaogopa watanzania watamcheka!?! Ndo Gea akamtoa wasiwasi kuwa aongee tuu hakuna wa kumcheka!
Ila uongo hapendi tu kuzungumza kiswahili bado ana shobo na Uzungu sana!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi sawa [emoji38]
Akuuuu..... Ndo ujue zari ni mzur kuliko yeye piaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] unanichimba
Filters za kufa mtuuu...Sasa embu ona apo alivokua mrembo kuliko hata uko kwenye iyo 30 sijui 40......
Kaaz kwelkwelFilters za kufa mtuuu...
Wivu kitu kibayaaNaona leo vyupi vinawabana mnahangaika mara make up, mara uzee mara mdomo ha ha ha
mmuache zari asherehekee 60 ya mwanae
Nilishaedit mpenzi nilikosea asante...Mmmmhh witn.... Hakusema haongei kw kua ni kibaya bhn, bali alisema haongei kwa sababu anakosea kuongea so anaogopa watu watamcheka.
Zari kapata mawifi mwe.Shost nilichoka nilivyomuona ndo anaingia clouds! Mwanzo ckujua kama ni yeye, na alivyokuwa anajichetua na hiyo singeli ndo kabisa alizidi kuharibuu...
Mi nakwambia kama kuna kipindi anakilaani ni hizi ishu za arobaini manake kadamnasi ndo wanajionea uhalisia!
Mi mlimani city nilishanga eti...labda mguu lakini kwingine hapana asee!
Zari anapenda sana kuedit ili kuficha mambo, mtu anaedit hadi kikombe cha chai khaaa!!
wivu na uchawi vina unduguWivu kitu kibayaa
Tukiongelea swala la mwonekano kunlingana naumri hapa tutahaibishana!Kuna miss tz fulani hata hajazaa lakini ukimtazama mwili ulivyokongoroka utafikiri ana watoto sita,ila wajuvi wa mambo tunajua ni madhara tu ya mirage kusoma,kash kash za maisha,madawa ya kulevya na ulevi uliokithiri.wivu na uchawi vina undugu
vipo vya kuongea ila sio.umri ndo maana wadada wanarudisha umri.nyuma teh hapo tuliwezwa wote tutazeeka