elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Try na wewe uone kama utapata hizo biashara unazosemea kuwa wanawatumia kuwauza...Sawa. Endeleeni kufanya biashara ya watoto. Ukweli ni mgumu kuumeza. Kwani hao watoto wana nini cha zaidi Kama sio tu kuwa na wazazi wanaochangamkia fursa.
Hongereni kwa arobaini ya mtoto.
Huu ni utamaduni wa wapi?
Sina mpango wa kuuza mtoto au kutumia mtoto wangu kibiashara.Try na wewe uone kama utapata hizo biashara unazosemea kuwa wanawatumia kuwauza...
Hawapati sponsors kwakuwa watoto ni wazuri bali kwa kuwa baba yao ana jina kubwa.
kuna watu wana watoto wazuri saaana lakini hata u sponsor wa kwa mangi hawawezi kupata.
Wewe jamaa unajifanya mwislamu sana ee.Shehe mchumia tumbo huyo,watoto wa Zinaa hao.
Kwanza Diamond si muislam mwenzetu
Inna lillah wainna illayhi rajiuun!! Shee kapiga Mpunga wake saizi mwepesiiiiihivi naomba kuuliza dunia ni kubwa au pesa ni kubwa kuliko dunia.kwa dini ya kiislamu mtoto bila ndoa ni halamu na shk.anapiga dua na mapambio.kweli tutafute pesa kukabili dini
nimeona Ila sielewei anaongea nn...kumbe ana sauti km yangu ya zegeee....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umeona wolper alivyolewa?
aah sio kwa sauti ile aiseeh, naona full kujipendekeza kwa zari, looh sijui alikua anampa michambo nani, hv alikua na nani south wiki sita?nimeona Ila sielewei anaongea nn...kumbe ana sauti km yangu ya zegeee....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mashauzi tuuu!!aah sio kwa sauti ile aiseeh, naona full kujipendekeza kwa zari, looh sijui alikua anampa michambo nani, hv alikua na nani south wiki sita?
Hakuna aliyeuza mtoto sema jina la baba yake ndiyo linamletea maslahi na haiwezi kuwa kwa kila mtu otherwise hata mtoto wa aunt ezekiel angepata ma sponsors hat mtoto wa h.baba angepata sponsors.Sina mpango wa kuuza mtoto au kutumia mtoto wangu kibiashara.
Apo umesema kwl nakuunga mkono xn[emoji106] [emoji106]Asilimia ngapi eti!
Teh teh teh kuna kaukweli fulani kachungu sana hapa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mchawiii wew
Hivyo watoto wazuri ni wa bongo celebrities tu? Na pia unaweza ukawa star and yet ukawalinda watoto wako. Wao waendelee na hiyo biashara yao. Acha sisi wengine tuendelee kuprotect watoto wetu. Asije lia lia hapa.Hakuna aliyeuza mtoto sema jina la baba yake ndiyo linamletea maslahi na haiwezi kuwa kwa kila mtu otherwise hata mtoto wa aunt ezekiel angepata ma sponsors hat mtoto wa h.baba angepata sponsors.
sema ndiyo hivyo wengine wanaisha kugombea insta photogenic.
Kasome growth ndo uje na dua zakoUmesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
kazungukwaje na watu wabaya... zaidi ya hiyo 40 mfano tiffa ushawahi kumuona wapi tena kazungukwa na watu wa ajabu zaidi ya mama yake baba yake na wana familia.Hivyo watoto wazuri ni wa bongo celebrities tu? Na pia unaweza ukawa star and yet ukawalinda watoto wako. Wao waendelee na hiyo biashara yao. Acha sisi wengine tuendelee kuprotect watoto wetu. Asije lia lia hapa.
Mtoto anakua kazungukwa na watu kibao na wengi wao wana tabia za ajabu, eti celebrity. Haya.
Hivi na harmonize ndio kimoja?aah sio kwa sauti ile aiseeh, naona full kujipendekeza kwa zari, looh sijui alikua anampa michambo nani, hv alikua na nani south wiki sita?
Huko kwenu si mnasema hamuheshimu majina ya watu, sasa hapo wa kumtambua nani?Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Mama dai tiffaView attachment 469428 nae ana karabatiwa kwanza(hizi make up wengine tumezijulia ukubwani,utotoni tuliibaga kisirisiri enjoface na kujikandika)View attachment 469429
Naona wewe ni insider. Nakushauri unisaidie kumwambia Zari concern yangu mimi kama mzazi. Sisi huku mitaani hatu trust hata baba wadogo na wajomba. Dangers ni nyingi hasa pale mtoto anapojenga mazoea na watu wengi. Na wasanii tunawajua, maadili almost zero.kazungukwaje na watu wabaya... zaidi ya hiyo 40 mfano tiffa ushawahi kumuona wapi tena kazungukwa na watu wa ajabu zaidi ya mama yake baba yake na wana familia.
Na sijaona ubaya wa mtoto kuingia mkataba na kampuni flani mfani tiffa na NMB ni kitu gani cha ajabu NMB walichokifanya zaid ya lile tangazo na msasani mall zaidi ya mtoto kuwa anavaa nguo kutoka duka lao.
Je wanaotoa watoto wao wakatumike kuigizia movie nao utasemaje?