elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Try na wewe uone kama utapata hizo biashara unazosemea kuwa wanawatumia kuwauza...Sawa. Endeleeni kufanya biashara ya watoto. Ukweli ni mgumu kuumeza. Kwani hao watoto wana nini cha zaidi Kama sio tu kuwa na wazazi wanaochangamkia fursa.
Hongereni kwa arobaini ya mtoto.
Hawapati sponsors kwakuwa watoto ni wazuri bali kwa kuwa baba yao ana jina kubwa.
kuna watu wana watoto wazuri saaana lakini hata u sponsor wa kwa mangi hawawezi kupata.