Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Ngoja nikupe promo na mimi binamu,yani nimefurhi sana umenipa credit kwenye article yangu humu, yani kuanzia sasa ruksaa ku copy ubuyu kwangu kwenye page yako bt usisahau kuni mention tu
 
"Trust no one and suspect every one"

Safi sana nimempenda huyu mwanamke, ana uchungu na mali zake na hayuko tayari kuzipoteza kizembe zembe.

Thumb up to mama tiffa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini

sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
Acha tu azibebe kwa kweli, mie niliibiwa cheni na hereni, sina hamu na ndugu na sherehe ilikuwa home
 
sio kulala naye naseeb watu
hilo sio ishu
ishu ni usalama vitu muhimu na vya msingi vya familia utakua mwanamke mjinga una shughuli halafu halafu unaacha mlango wazi!
Mara nyingi ukiona mtu yuko makini kiasi hicho ujue probably amewahi kulizwa katika mazingira hayo hayo au yanayofanana na hayo.. Sasa hapo anafanya hivyo baada ya kujifunza.

Kutembea na key tena mkononi!!? hiyo ni tahadhari ya prime standard.
 
Mmmmh anaogopa kuwekewa madawa ya kulevya,,alafu polisi waambiwe kuwa zari anatumia madawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…