Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Sasa wezi kina nani? Le mutuz? Shetta? Jembe ni jembe?
 
zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta
Asee masihara pembeni...liwolper limetia aibu sana...

Kule IG kwa katibu wa Umbea wachangiaji wanasema eti alivyolewa siku hiyo alizima na akajinyea...[emoji15] [emoji15]
 
Kila mtu kazaliwa ili awe yeye TANMO
 
Husitusahaulishe habar za madawa, hii hatuiachi kama tulivofanya kwa John rhino.
Jamani fanya na upekuzi kwa kina haiwezekani mtu amfundishe wema kuvuta ila yeye hasikamatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…