Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

umeandika point sana ndugu, jamaa ndo mfano wa kuigwa kama tukiacha kuendekeza majungu
 
Watu kwa kunyapia nyapia tu, hamjambo
 
Umesahau kitu muhimu saaana
........ anaweza pia leo akatimiza siku 40.. kesho tu kabla ya kusign iyo mikataba.... akarudisha number kwa MUNGU ..
yoote yanawezekana.... usijisahau saaana...
Unaelekeza njia ya usipopajua.
Dunia mapito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…