Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
yaani hilo furushi huko juu mtoto wa mwaka mmoja na nusu sijui analalaje!!.....hawataki kuwaacha watoto wawe watotoNikajuwa ni ushamba wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hilo furushi huko juu mtoto wa mwaka mmoja na nusu sijui analalaje!!.....hawataki kuwaacha watoto wawe watotoNikajuwa ni ushamba wangu.
Yaa mtoto mdogo huwez kumsuka ivo, subir mpk afikishe miaka 18.Natamani wamnyoe tu mpaka akue ndio wamsuke.
Lakini ukishauri hivyo utaonekana hater.
Subir utavyovamiwa hapa watahis ni wivu tu.yaani hilo furushi huko juu mtoto wa mwaka mmoja na nusu sijui analalaje!!.....hawataki kuwaacha watoto wawe watoto
Yaa mtoto mdogo huwez kumsuka ivo, subir mpk afikishe miaka 18.
Hii ni israf
Period
umeandika point sana ndugu, jamaa ndo mfano wa kuigwa kama tukiacha kuendekeza majunguHaya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Watu kwa kunyapia nyapia tu, hamjambo![]()
![]()
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/451daa6bb90309fda40ffa1dba21c5a4.jpg[/IMG![]()
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/24fa9df9c8794d56b271fcb92abf889a.jpg
Thanks Naseeb Abdul for invite
Usicheze mbali soon
Tutaweka picha prince nillan uwewakanza kumuona
Umesahau kitu muhimu saaanaHaya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Kazi ipo.Gsm wamedhamini show
pedeshee was mjininillan ni nani?
Weeeh jamaa umenikumbusha mbali zama zileeeHii style inaitwa Kua nazo
na wewe mshuhuaji ni jnsia gani?!!!Bila shaka wewe ni ke mana sio kwa uandishi huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kafanana na Ivan
jamaniKafanana na Ivan
Jibu zuripedeshee was mjini
wapumbavu tuu!!hao wasusiiKwa umri wa huyo mtoto hicho walicho mfanya kichwani duh!!!
Nikajuwa ni ushamba wangu.
Nilidhani ni macho yangu tu.Mama mtu mbona naona kama kachooooka