Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
labda pia ungejifikirisha na..when you say arobaini, ni kumaliza msiba au nini sisi wengine hatuelewei.
KWELI INABIDI TUMUOGOPE MUNGU.SHEKH KAZI YAKE NI KUKEMIA MAOVU HAPO YEYE ANAUNGA MKONO.ANGEWASHAURI WAFUNGE NDOA KWANZA.Mkuu ni muhimu kuwaandalia wanao mazingira mazuri ...huez jua unaweza pumzi inakata mda wowote halaf hujfanya la maana kwa watoto wako hata kama huna uwezo kama diamond mana kila mtu ataegemea kua wale wana uwezo sjui wana pesa....mwanao ukianza kumwekea kidogo kidogo tokea akiwa mdogo hadi ukubwani ni we mwenyewe uangalie tu kwamba ntamuekea akifika miaka labda 30 kama Mung atakua amekuweka hai basi unampa ulichomuandalia kwa miaka 30. Sio lazima usaini mamikataba kila mtu na level yake ..
Angekuwa apeche alolo shekh angemsemea mbovu na wala asishiriki Maulid.
well said!!!!!
Wamependezaaa [emoji8] [emoji8]
Uko sahihi kabisa.sio kwa tifah tu
Mimi mzazi yoyote anayemsuka rasta bintiye ni mpumbavuuu
Prof uko Madale?Uko sahihi kabisa.
Haya jamani wale mashilawadu mlioalikwa kwenye arobaini ya nillani please msitusahau kutupenyezea maubuyu, nillan kaavaje, Jaman mhakikishe mnaichunguza vzur nyumba ya domo mtupe umbea ikoje,maana nasikia sherehe imeanza toka saa tano, mmh kama namuona halima kimwana vile na mijishauo yake mfyuuu
Wamependezaaa [emoji8] [emoji8]
ila make up artists wa zari [emoji35] kamzidisha make up mnooo
Ohooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sio jamaa(usije nipeperushia njiwa humu)
Duh!!!!!Ni kiongozi mkuu wa Al-Shabab, inasemekana ndo Binadamu katili kuwahi kutokea ulinwenguni mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ajuza mambo? Miss u= kinachojiri
Soma bichwa lako la habari.
Baadaye ntakuwa madaleProf uko Madale?
Umechelewa Maulid.Baadaye ntakuwa madale
Myaletewa updatea hapa
Nasikia siku za usoni atakuja kupambana na rushwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kiongozi mkuu wa Al-Shabab, inasemekana ndo Binadamu katili kuwahi kutokea ulinwenguni mkuu
Sipo huko mkuuu hapa nayashuhudia yanayojiri huko kupitia kakimeo kangu.Prof uko Madale?
Pengine ana mimba nyengine.natania ila make up ya safari hii hapana.zari na bi Sandra. Haijawapendeza sijui poda zimezidishwaMama mtu mbona naona kama kachooooka
Ohooo!!kifimbo cheza umepita.= kinachojiri
Soma bichwa lako la habari.
Hongera wazazi diamond na zari....
Mungu awakuzie watoto wenu