Ipo ya usiku hiyo VIP ndio tumealikwaUmechelewa Maulid.
kiunafiki.unafiki hivo hivo siku zinasogea ha ha haAmbaye hajawahi kufanya uzinifu na awe wa kwanza kuwarushia mawe.
Nani leo kutwa nzima mpaka sasa hajatenda dhambi?
Binafsi nipo sehemu fulani napokea rushwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia siku za usoni atakuja kupambana na rushwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtotokweli kabisa mshamba kabisa mtoto ni mtoto let her be upuuz wako hajakuomba umfanyie atafanya badae akikua na kuamua.tuache mikumbo ndo mana mtoto mdogo hashikiki si wakiume wala kike kha!
wa-Nigeria wanawapa dawa ya usingizi kabla ya kuwasuka, unakuta katoto ka miaka miwili kamesukwa rasta zile ndogo za masaa 4/5kuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto
Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...
niliwatoa akili mke na mume wote
yaani wamama sisi sijui tukoje urembo mwingine huu hapana tu!!wa-Nigeria wanawapa dawa ya usingizi kabla ya kuwasuka, unakuta katoto ka miaka miwili kamesukwa rasta zile ndogo za masaa 4/5
Tena J'mosi kama leo watoto wanakoma katika maandalizi ya J2, yote hayo show off za kanisani.yaani wamama sisi sijui tukoje urembo mwingine huu hapana tu!!
Mimi wanangu watasuka ukubwani kwao
Mkuu wakikujibu nitag.hivi baba ake diamond hajapewa kadi akamuone mjukuu
yaani wamama sisi sijui tukoje urembo mwingine huu hapana tu!!
Mimi wanangu watasuka ukubwani kwao
Naona kuna huyo bwege hapo anauliza Prince Nillan atakuja saa ngapi kuongea na wananchi [emoji3] [emoji3]
mengine ya kuumiza watoto...Kila wazazi na maamuzi yao kwa watoto wao.
Rasta butu huwa zinauma kumsuka mwanangu siwezi mwenyewe MTU mzima huugulia maumivu yake kwa kumeza dicloper week ndo zinatulia.yaani hilo furushi huko juu mtoto wa mwaka mmoja na nusu sijui analalaje!!.....hawataki kuwaacha watoto wawe watoto
ujinga tu....nshashuhudia Dada mmoja anampa mwanawe Valium ili alale asukweTena J'mosi kama leo watoto wanakoma katika maandalizi ya J2, yote hayo show off za kanisani.
mengine ya kuumiza watoto...
kingine kinalia kabisa mda wa kusuka
Hizi nywele huwa zinauma hatari aisee kumsuka mtoto mitindo ya kiutu uzima nikumkomazamengine ya kuumiza watoto...
kingine kinalia kabisa mda wa kusuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vngine vilalamishi kwa kweliHata kuzichana tu watoto huangusha kilio cha hali ya juu.
Hahaaaaaa! kumradhi bibie...Mie sio jamaa(usije nipeperushia njiwa humu)
kila mzazi ana maamuzi juu ya mwanae ilimradi havunji sheria na hamdhuru mtotosio kwa tifah tu
Mimi mzazi yoyote anayemsuka rasta bintiye ni mpumbavuuu