Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

kweli kabisa mshamba kabisa mtoto ni mtoto let her be upuuz wako hajakuomba umfanyie atafanya badae akikua na kuamua.tuache mikumbo ndo mana mtoto mdogo hashikiki si wakiume wala kike kha!
kuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto

Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...

niliwatoa akili mke na mume wote
 
wa-Nigeria wanawapa dawa ya usingizi kabla ya kuwasuka, unakuta katoto ka miaka miwili kamesukwa rasta zile ndogo za masaa 4/5
 
yaani hilo furushi huko juu mtoto wa mwaka mmoja na nusu sijui analalaje!!.....hawataki kuwaacha watoto wawe watoto
Rasta butu huwa zinauma kumsuka mwanangu siwezi mwenyewe MTU mzima huugulia maumivu yake kwa kumeza dicloper week ndo zinatulia.
 
Back
Top Bottom