Nilikuwa na mawazo kama yakowhen you say arobaini, ni kumaliza msiba au nini sisi wengine hatuelewei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na mawazo kama yakowhen you say arobaini, ni kumaliza msiba au nini sisi wengine hatuelewei.
Mbona huwa anaongea vzuri kuliko kiswahili cha kikenya, waganda wengi husikia kiswahili ila huwa hawapendi kukiongea.Hata kwenye interview alisemelea kwa Domo kuwa eti haongei kiswahili chake ni kibaya so anaogopa watanzania watamcheka!?! Ndo Gea akamtoa wasiwasi kuwa aongee tuu hakuna wa kumcheka!
Ila uongo hapendi tu kuzungumza kiswahili bado ana shobo na Uzungu sana!
Haya ndio matatizo ya kuanza mapenzi mapema yaani una miaka 16 umeshaanza kubakwa.Mezaa sumuu sasa upumbavu wao unakuuma nini ! Pouleeer! It's their life eboo
Hamna kufa wala nini kwani CMU za voda au tigo sio simu kikubwa mawasiliano, kwahyo hili jukwaa mnataka nani asemwe anasemwa makonda had rais sembuse hao. MfyuuuuuuNa wafee kabisaaa tenaa hapo wanatumiaa simu za promisheni tigo na vodaa[emoji16][emoji16][emoji16]ikiwaumaa wamezee wembee na wabonyez reli kuthibitishaaa, wajinyonge[emoji3][emoji3]
Poule naona wew ndo uliyezaliwaaa kwa kubakwaa cyoo kwa povuu hilooo MTU humjuiii, miaka 16 tu 2 na roboi[emoji1] [emoji1] [emoji28]Haya ndio matatizo ya kuanza mapenzi mapema yaani una miaka 16 umeshaanza kubakwa.
Halafu inaonekana bado una msongo wa mawazo kuhusu mapenzi.
Hahaaaaaaa sio kwa povu hili Dada mnasema yote Leo kuanzia uchawi husda, wivu, but hyo make up ilikuwa ka jivu vileeeeee. Hatunywi sumu wala hatunyongi tuko free kuandika tujisikiavyo eeeeehMezaa sumuu sasa upumbavu wao unakuuma nini ! Pouleeer! It's their life eboo
Sasa wew amsuke tiffa au asisukwe povuu la nini nakatii nishazidiwa life . na mtoto mweny cku60 dunian[emoji3]Hamna kufa wala nini kwani CMU za voda au tigo sio simu kikubwa mawasiliano, kwahyo hili jukwaa mnataka nani asemwe anasemwa makonda had rais sembuse hao. Mfyuuuuuu
Ndio niniii?Hii ni israf
Period
Sasa ya kujamba yametoka wapi na wewe mshamba hoja hujibiwa kwa hoja na sio mapovu hatuna nguo chafu sie.Sasa ulitakaa ufanyaj kwa mfanoo[emoji108] [emoji108] [emoji108] naona una nyege za mchana , umaskini wa ukoo wako ndo wa mondii kwendraaa Kule, kajambe mbelee
Unga wenyewe unatengenezwa viwandani mkuuHahahahahaa GSM +DIAMOND+MADEREVA= 100kg of unga.Shikamoo Tanzania ya viwanda.
yaani mi nimewashindwa kwa kweli unaanzaje kumsuka mtoto rasta za mabutu? bora angekuwa hata na miaka mitano!! na wanataka apendeze ili iweje!! awavutie wageni waalikwa au....hii si haki kabisaRasta butu huwa zinauma kumsuka mwanangu siwezi mwenyewe MTU mzima huugulia maumivu yake kwa kumeza dicloper week ndo zinatulia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tenaa wa chalinze ila povu kwa MTU next levoo la nini, bora nijambie pembeniii tuuuSasa ya kujamba yametoka wapi na wewe mshamba hoja hujibiwa kwa hoja na sio mapovu hatuna nguo chafu sie.
yaani mi nimewashindwa kwa kweli unaanzaje kumsuka mtoto rasta za mabutu? bora angekuwa hata na miaka mitano!! na wanataka apendeze ili iweje!! awavutie wageni waalikwa au....hii si haki kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] nillan atauaaa watuuuSasa ya kujamba yametoka wapi na wewe mshamba hoja hujibiwa kwa hoja na sio mapovu hatuna nguo chafu sie.
Hapo Ndio nachoka na masheikh ubwabwa, watu wanasherehekea zinaa kwa nguvu kubwa,hivi naomba kuuliza dunia ni kubwa au pesa ni kubwa kuliko dunia.kwa dini ya kiislamu mtoto bila ndoa ni halamu na shk.anapiga dua na mapambio.kweli tutafute pesa kukabili dini
Bora alipiga chini yule mvuta bange....Ndo mana unakuta pamoja na mambo mengine ya Diamond ila watoto wake watajivunia sana kuwa na baba kama Diamond.
Hakuna size ake teheteheMbona wamemvalisha mtoto oversize,
Kila mtu na maisha yake. Hakuna sababu ya kuwa na wivu. Na wala hakuna sababu ya kuwa watumwa wa mafanikio ya wengine. Mungu hutoa kadri atakavyo.umeandika point sana ndugu, jamaa ndo mfano wa kuigwa kama tukiacha kuendekeza majungu
Anatania na we!!!huwa hamkosekani!