Kilichojiri mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Aprili 28, 2025

Cha kushangaza mawakili wa Lissu wanatumia kiengereeza tena kibovu na hawafahamiki na wafatiliaji. Kwanini wasitumie kiswahili?
 

The War in the Kangaroo Court!
 
Kutokana na mambo ya kijinga kama haya, sasa nimegundua ni kwa nini kuna baadhi ya watu huwa wanafurahia sana wasikiapo vifo vya polisi, viongozi wa chama tawala na serikali, nk.

Inakera sana.
Wambie kibatala atumie kiswahili ktk kuwasilisha, mdomo pia wanauweka mbali na Mike kama wananguruma hivi
 
Cha kushangaza mawakili wa Lissu wanatumia kiengereeza tena kibovu na hawafahamiki na wafatiliaji. Kwanini wasitumie kiswahili?
wanataka watu wengi washiriki kusikiliza kesi halafu wanaongea lugha ambayo wanaotaka wafuatilie hawaijui huo ni uzuzu mwingine wa chadema pimbi hawa
 
Leo lazima tutakufa na polisi huko mahakamani hatukubali
View attachment 3318559
Hivi huwa hamjioni kama hamna akili kwenye vichwa vyenu! Mnavaa minguo yenu na kujazwa kwenye ma pick ups, huku mkiwa na silaha za kila aina! ili tu mkaue na kutesa hao watu! Halafu mnafika eneo la tukio ili muwaue; hamuwaoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…