Kilichojiri mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Aprili 28, 2025

Hii kesi inaingia katika historia ya mapambano ya kudai mabadiliko na uhuru wa watanzania kutoka tawala dhalimu za CCM.

Lissu anaingia katika historia kama ambavyo Mandela na wanaharakati wengine duniani walivyoingia katika historia za kupigania uhuru na haki za watu katika mataifa yao.

Vitukuu na vilembwe wa Samia, Wasira, Nchimbi, na wa watawala wengine wa sasa, ni miongoni mwa watu wataokuja kusoma historia ya anguko la CCM.

Ni historia ambayo kwa namna moja au nyingine, ni lazima itagusa kesi kama hizi za wazalendo hawa wa leo wanaojitoa kuongoza mapambano ya kuondoa utawala huu katili wa CCM.

Halikadhalika, picha za wote waliovunjwa mikono na miguu na Polisi kwa kwenda mahakamani kufuatilia hii kesi, zitatumiika kama kumbukumbu mbaya na ya fedheha ya utawala huu wa sasa kwenye mapambano ya kudai haki na uhuru wa watanzania chini ya tawala hizi za CCM.

Mapambano ya namna hii hii yalikuwepo kule nchini Afrika Kusini enzi zile za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu, Mahakama Kuu iliyopo mjini Johannesburg ndiyo ilikuwa Uwanja Mkuu wa Vita hiyo.
 
Hivi huwa hamjioni kama hamna akili kwenye vichwa vyenu! Mnavaa minguo yenu na kujazwa kwenye ma pick ups, huku mkiwa na silaha za kila aina! ili tu mkaue na kutesa hao watu! Halafu mnafika eneo la tukio ili muwaue; hamuwaoni!
Leo tutakufa na polisi mimi ndo nipo njiani naelekea kisutu
downloadfile.jpg
 
Hii kesi inaingia katika historia ya mapambano ya kudai mabadiliko na uhuru wa watanzania kutoka tawala dhalimu za CCM.

Lissu anaingia katika historia kama ambavyo Mandela na wanaharakati wengine duniani walivyoingia katika historia za kupigania uhuru na haki za watu katika mataifa yao.

Vitukuu na vilembwe wa Samia, Wasira, Nchimbi, na wa watawala wengine wa sasa, ni miongoni mwa watu wataokuja kusoma historia ya anguko la CCM.

Ni historia ambayo kwa namna moja au nyingine, ni lazima itagusa kesi kama hizi za wazalendo hawa wa leo wanaojitoa kuongoza mapambano ya kuondoa utawala huu katili wa CCM.

Halikadhalika, picha za wote waliovunjwa mikono na miguu na Polisi kwa kwenda mahakamani kufuatilia hii kesi, zitatumiika kama kumbukumbu mbaya na ya fedheha ya utawala huu wa sasa kwenye mapambano ya kudai haki na uhuru wa watanzania chini ya tawala hizi za CCM.
Nakubaliana na wewe
 
Leo tutakufa na polisi mimi ndo nipo njiani naelekea kisutuView attachment 3318638
Mjitahidi kujiendeleza kielimu ili muondokane na hayi mateso yenu ya kutumiwa kama mbwa na watawala.
Imagine umevishwa mabomu ya kutoa machozi mwili mzima, halafu unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu wa kumtupia hayo mabomu!

Lazima utajisikia tu vibaya kama una akili timamu.
 
Safari hii polisi kazi wanayo naelekea kisutu niko tayari kufa
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom