Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

Well said mkuu,

Naona kuna haja ya kurekesha mtaala wa elimu angalau ngazi ya secondary kuwe kuna basics na abc kidogo za sheria.

Watu wengi sana wapo nyuma ya nondo kwa kuonewa.
 
michupa tupo kichwani haielewi kazi kuleta mihemuko subiri itakapotoa submission yao utaona uhalo wake
Tena hilo li katuga bichwa cabbage, utaona litakavyoanza leta upuuzi wake jinga lile, sijui likoje, linaniboa sana.
 
Tena hilo li katuga bichwa cabbage, utaona litakavyoanza leta upuuzi wake jinga lile, sijui likoje, linaniboa sana.
Kama ukikumbuka lilipoteuliwa lilianza kuumiza kichwa kumleta mange bongo ili ashitakiwe lilijiona lina akili sana! Eti " huyu dada anawezaje kushawishi watu wakaandamana kiasi hiki lazima tumkamate" hapo mabichwa hewa wenzie waliona kama wameenda kufanikiwa kiko wapi hadi saivi mange anawapelekea moto tu
 
Mpaka hapa kesi ilipofikia TAL siyo mhaini.

Hata kama Mahakama ikisema imemkuta na hatia, na anahukumuwa kifo, basi ukweli tushaujua.

Mungu mbariki Tundu
 
Yule ni Hamza Johari, mwanasheria mkuu wa serikali.
 
Afrika tunasafari ndefu sana yaani akili ya huyu mzee ndo ipo segerea halafu mazwazwa ndo wapo kwenye LC300...Huyu mzee ni mzalendo haswa kwa profile yake angekua chawa sasa hivi ana pesa chafu za kuhongwa lakini amekataa yote ameamua kua mkweli.
 
Well said mkuu,

Naona kuna haja ya kurekesha mtaala wa elimu angalau ngazi ya secondary kuwe kuna basics na abc kidogo za sheria.

Watu wengi sana wapo nyuma ya nondo kwa kuonewa.
Exactly, pia naomba niweke pendekezo langu hapa, katika rasmi ya Katiba inayopatikana kwenye tovuti ya www.katibampya.com ibara yake ya 115(4)(b) inayoweka masharti ya lazima kwamba "Katiba hii itapatikana kama sehemu ya lazima ya mitaala ya elimu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania",

Pia ibara ya 221(4)(a)(II) imeanzisha somo la katiba na sheria na kukabidhiwa mikononi kwa mamlaka ya elimu yaliyotamkwa katika ibara ya 221(4)(a).

Hivyo basi Naunga mkono hoja zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…