Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Yaani 600k ndo mshahara wa Kitenge!??? Aisee... hivi watangazaji ndo wanalipwa pesa ndogo hivi kweli!??
 
Huu ni zaidi ya umbea
 
Musa kawambwa aliwahi fanya kazi wasafi eeeh πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mhhhhhhhh kama ndio hivyo alivyotoka EFM kuja Wasafi,EFM walikuwa wanamlipa shilingi ngapi?

Yaani mtu balozi wa ASAS, DSTV, Star Times, GSM, Sport Pesa, halafu achukue 600k,ila si shangai tatizo lenu mnapenda umbea.
 
600k usd au Tzs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…