Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

Sasa kwa nini Kitenge aliondoka EFM kwenda Wasafi au baada ya kutoka EFM kwenda Wasafi EFM walikuwa wanampa kiasi gani?
 
Sasa kwa nini Kitenge aliondoka EFM kwenda Wasafi au baada ya kutoka EFM kwenda Wasafi EFM walikuwa wanampa kiasi gani?
Kuna mshahara na marupurupu hivo hpo ujue kutofautisha mtu anaeza kuwa anapokea 300k ila marupurupu ya millions of money
 
Kuna mshahara na marupurupu hivo hpo ujue kutofautisha mtu anaeza kuwa anapokea 300k ila marupurupu ya millions of money
EFM alipotokaga kwenda Wasafi walikuwa wanampa shilingi ngapi EFM.

Halafu zingatia hili "....hii Tasnia ni Biashara........",manake hata kesho anaweza toka eFM kuja Wasafi au hata kwenda sehemu yoyote.
 
Ufafanuzi ukisema 600k unamaanisha laki sita!!? au milioni sita?
 
Kwa mwaka maulid to USA mara nne au kwa mwezi mara nne?

By the way kitenge mwenyewe anasema mkataba wake pale wasafi ulikuwa wa miaka miwili tu...
 
Unahisi anaweza akawa shushushu la CIA
CIA sio wazembe hivo hawawezi tumia jasusi anayeenda kwao. Wakiwa na agent wanakuwa wanamtuma nchi ambayo hawahusiki nayo kabisa, utaona mtu anaenda Spain au Misri na kule anakutana na carrier.

Kesi ya kwanza kabisa ya ushushushu hapa Tanzania miaka ya 60s mtuhumiwa alikuwa anatuma taarifa Uingereza kwa mtu asiyemjua ila yule aliyekuwa Uingereza alikuwa ni agent wa makaburu wa South Africa. Kwahiyo ukija kichwa kichwa ungejua wanaochukua taarifa ni Waingereza
 
Wewe jamaa ni mshamba sana..
 
Usiamini story za JF kama hizi. Yani Kitenge anazidiwa salary na mwalimu wangu aliyenifundisha A, E, I, O, U ambaye alipandishwa daraja. Bora mnione mwehu ila siwezi amini hili
Kabisa mkuu.
 
Hata cjui aiseee cjmskia popote
Yani cjui aliwafanya nn clouds

Namuona huko insta kageuka
Kawa Mc

Aliwaringia efm akaona
Bado wadogo sio hadhi yake
Na yeye anasaka 2m za umc kwenye masherehe ya watu

Iyo tasnia ina mwenyewe bana mc garab yule jamaa hapana kwa kweli kuanzia jumatano mpaka jumapili already booked kila wiki.....aliesema hawa watu walipe kodi alikuwa sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…