Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Hali mbaya sanaUliza hyo mduka.ya.mikoani yana hl.gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali mbaya sanaUliza hyo mduka.ya.mikoani yana hl.gani
Yule ni kaka yake na Whozu walikuwa wote pale Advance Galanos. Walimaliza 2007 Advance.Kafirisiwa ma whozu
Una ushahidi?😀😀Miaka hii 7 alipenda umaarufu kuliko kula? Wanawake wa mjini wote wa kwake mara Hamisa Nai na muheshimiwa Jojo mpaka mtoto wakazaa na Inasemekana ni muhongaji mzuri, kushuka kimapato lilikuwa ni jambo la muda tu
Mzee wa hovyoUna ushahidi?😀😀
Hiyo ni juzi sana yaaniFreddy ame anza kwenda china kwenye 2015~16 una sema ndo kawasanua vijana kuyajua machimbo ya china 🤣🤣?
Sawa mkongwe
MkuuSidhani kama kafilisika ila kwasababu yeye alianza inawezekana anaona hailipi kama zamani,maana pia anauza dawa za binadamu,VUNJABEI PHARMACY,ni jumla na rejareja....... inawezekana nguvu amewekeza zaidi huko kwenye dawa,na asikudanganye mtu usidharau hata kiduka cha kuuza dawa mtaani kwasababu kila dawa anapata faida hata zaidi ya nusu..............kama unataka kujua faida ya dawa,uliza bei ya dawa pharmacy kkoo,then dawa hiyo hiyo pita Ubungo,Kimara au Mbezi utanielewa
Sababu uliyoiandika siyo sababu ya kufilisika ni sababu ya kupata ushindani kwenye biashara, kama kafilisika peleleza na ulete sababu ya kweli ya yeye kufilisika ila kuhusiana na kusema mzigo anachukua china wala haihusiani na kufilisika ni kualika competition tu, ukizingatia biashara yake ni wide hadi mikoani anamaduka kwahiyo anauwezo wa kupambana na huo ushindani alioualika effectively.
Ukiwa mfanya biashara swala la ushindani ni expected issue kabisa utoe siri au usitoe ushindani utakuja tu.
Sidhani kama kafilisika ila kwasababu yeye alianza inawezekana anaona hailipi kama zamani,maana pia anauza dawa za binadamu,VUNJABEI PHARMACY,ni jumla na rejareja....... inawezekana nguvu amewekeza zaidi huko kwenye dawa,na asikudanganye mtu usidharau hata kiduka cha kuuza dawa mtaani kwasababu kila dawa anapata faida hata zaidi ya nusu..............kama unataka kujua faida ya dawa,uliza bei ya dawa pharmacy kkoo,then dawa hiyo hiyo pita Ubungo,Kimara au Mbezi utanielewa
Ulichosema ni kweli kabisa ukitoa Code zote kwanza TRA hao mlangoni then utaanza kulia lia tuuJuzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine kufungwa mikoani huko wengine wanadai hadi zile plate no za majina ameondoa kuepuka Garama uchumi hauruhusu.
Ila kwakuwa mimi ni mkongwe wa kariakoo na Biashara ya mavazi naifaham vizuri basi fuatilieni huu uzi ili ambo mpo kwenye biashara hasa zile biashara ambazo zipo on Fire zinawalipa muwe makini maana biashara kupanda na kushuka ukikosea kitu tu ni Dakika moja na kupanda tena ni mtihani.
Ishu ipo hivi
Vunja ni moja ya vijana wa mwanzo kabisa hapa Tz kulijua soko la China ambalo limewaletea utajiri mkubwa vijana wengi wa Tanzania, Vijana wa mwazo kabisa hapa Tanzania kwenda China kubeba mzigo na kuja kupata pesa nyingi hapa Tanzania. Fredi alikuwa ni mmoja wapo sijasema kwamba ni wa kwanza ila kati ya watu wa mwanzo kufaidika na mizigo ya china humtoi kwenye list, na enzi hizo kwenda china hapo kariakoo walikuwa ni madon wachache ambao walikuwa wanayajua machimbo china wanabeba mzigo wanakuja kuwauzia na wafanyabiashara wengine.
Hata moja ya Stori za fredi na vyombo vya habari aliwahi kusema kuwa alianza biasgara na kigoli kidogo vile vifrem vya uchochoroni kariakoo hapo tena alikuwa wanashare mtaji na Rafiki yake ndio wakajichanga ikabidi mmoja wapo aende china akirudi wakiuza mzigo wagawane na kweli fredi mara ya kwanza anaenda China tu kurudi kumwaga mzigo hapo kariakoo ukaisha chap hapo ndio akasanuka kuwa china pesa ipo kipindi hicho china waliokuwa wanapajua ni wachache hapo ndio ukawa mwanzo wa fredi kupiga pesa na kufungua maduka makubwa sinza na sehem nyingine.
Sasa kilichomponza Fredi ni mdomo na kupenda kutoa siri yaani jamaa alivunja Sheria matajiri kamwe ukitaka kuwa tajiri usitoe siri za mafanikio yako kwa public ndio maana Gsm Akiuambiwa tumotivate tuwe kama ww aasema yanga bingwa yaani matajiri huwa hawatoi code ya walipopitia hadi sehem wanapobeba mzigo huwa ni siri, hata hapo kariakoo mtu hawezi kukupa code ni wapi anatoa mzigo huko China ili auze mwenyewe ukijifanya chaumbea tu utafunga Fremu.
Sasa baada ya Fredi kuwamotivate vijana kuwa China pesa ipo matokeo yake vijna wakamskiliza na wakaanza kufanya Research China wakayagundua machimbo ya nguo na viatu vya bei kitonga wakaanza kwenda wenyewe hata wale aliokuwa anawauzia wakawa wanaufuata mzigo wenyewe huko china mwisho wa siku akaengeneza upinzani mkubwa ambao ni chanzo cha kumfikisha hapo alipo.
Na kulikuwa na kesi nyingi za kushusha nguo zilizochini ya kiwango hakufanya reserch kuwa watu wanataka vitu vyenye quality mwisho wa siku vijana wakamletea upinzani wanaleta jeans zenye viwango wanashusha kkoo hapo kwa bei ile ile akaanza kupoteza soko.
Kwa sasa hapo kariakoo kuna vijana ni Madon vunjabei haingii ndani sema vijana wengi hapo kariakoo ni wasiri na hawana kelele ila wana pesa na wanauza balaa na mzigo wanaubeba china sema wamewin sababu ya kushusha jeans na tshrts kali zenye quality wakishusha utakuta watu wanagombania nusu kuuwana.
Kitu kingine ukijifanya wewe ni Tajiri ndio unawakaribisha TRA wakukamue vizuri kuwa msiri sana hata Diamond platnumz hapa juzi alijitamba anaingiza Mabilioni ndio Tra wakamtembelea kumjulia hali nadhani mliona alivyobanwa kidogo tu namna alivyotoa mluzi kwa kilio kuwa wanataka kumfilisi
Soma Pia: Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika
Wafanya biashara wa kariakoo wana siri sio mchezo,ukiwauliza wanatoa wapi huo mzigo hawatokaa wakupe hiyo siri ila Fredi umbea kujimwambafai na kuwaeleza watu michongo yake ndio ni sababu moja wapo inayo muharibia, kama unabiashara yako kamwe usitoe siri za biashara kwa watu huu uzi utakuja kuupitia tena kuwa msiri na mkimya.
Na kwa kumalizia kabisa kuna watu wanasema jamaa hajafulia ila kaamia kwenye uuzaji wa madawa ila hata huko kwenye pharmacy asipouchunga mdomo wake na kukaa kimya, akiendelea kutoa siri za kambi atawakaribisha wapinzani ambao watamsumbua, Utajiri unahitaji utulivu na ukimya wewe jifanye muongeaji utaonyeshwa....
Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine kufungwa mikoani huko wengine wanadai hadi zile plate no za majina ameondoa kuepuka Garama uchumi hauruhusu.

Mbona diamond hafilisiki na amezaa na wanawake wanaojulikana zaidi ya 3 ninaowakumbuka? Mbona sulemani alikua na wanawake buku lakini hakufilisika? Mwisho nauliza tena kwanini mwanamke tu ndio awe na mikosi? Hivi unaamini Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume?
Ni kweli kabisa Kuna mademu Wana gundu ukipiga mambo Yako yanarudi nyumaFred aache kulala na wanawake ovyo ovyo wanawake wengi wana mikosi
Wengi hujua kufilisiwa na wanawake huja kwa kuwahonga nop wanawake ni sumu by nature ni kutu ilayo baraka kutoka kwa BWANA
AiseeNi kweli kabisa Kuna mademu Wana gundu ukipiga mambo Yako yanarudi nyuma
Sasa tujadili muda au mikosi ya wanawakemkuu kila kitu kina muda
Hawezi filisika acheni majungu wanaume fanyeni kazi.Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine kufungwa mikoani huko wengine wanadai hadi zile plate no za majina ameondoa kuepuka Garama uchumi hauruhusu.
Ila kwakuwa mimi ni mkongwe wa kariakoo na Biashara ya mavazi naifaham vizuri basi fuatilieni huu uzi ili ambo mpo kwenye biashara hasa zile biashara ambazo zipo on Fire zinawalipa muwe makini maana biashara kupanda na kushuka ukikosea kitu tu ni Dakika moja na kupanda tena ni mtihani.
Ishu ipo hivi
Vunja ni moja ya vijana wa mwanzo kabisa hapa Tz kulijua soko la China ambalo limewaletea utajiri mkubwa vijana wengi wa Tanzania, Vijana wa mwazo kabisa hapa Tanzania kwenda China kubeba mzigo na kuja kupata pesa nyingi hapa Tanzania. Fredi alikuwa ni mmoja wapo sijasema kwamba ni wa kwanza ila kati ya watu wa mwanzo kufaidika na mizigo ya china humtoi kwenye list, na enzi hizo kwenda china hapo kariakoo walikuwa ni madon wachache ambao walikuwa wanayajua machimbo china wanabeba mzigo wanakuja kuwauzia na wafanyabiashara wengine.
Hata moja ya Stori za fredi na vyombo vya habari aliwahi kusema kuwa alianza biasgara na kigoli kidogo vile vifrem vya uchochoroni kariakoo hapo tena alikuwa wanashare mtaji na Rafiki yake ndio wakajichanga ikabidi mmoja wapo aende china akirudi wakiuza mzigo wagawane na kweli fredi mara ya kwanza anaenda China tu kurudi kumwaga mzigo hapo kariakoo ukaisha chap hapo ndio akasanuka kuwa china pesa ipo kipindi hicho china waliokuwa wanapajua ni wachache hapo ndio ukawa mwanzo wa fredi kupiga pesa na kufungua maduka makubwa sinza na sehem nyingine.
Sasa kilichomponza Fredi ni mdomo na kupenda kutoa siri yaani jamaa alivunja Sheria matajiri kamwe ukitaka kuwa tajiri usitoe siri za mafanikio yako kwa public ndio maana Gsm Akiuambiwa tumotivate tuwe kama ww aasema yanga bingwa yaani matajiri huwa hawatoi code ya walipopitia hadi sehem wanapobeba mzigo huwa ni siri, hata hapo kariakoo mtu hawezi kukupa code ni wapi anatoa mzigo huko China ili auze mwenyewe ukijifanya chaumbea tu utafunga Fremu.
Sasa baada ya Fredi kuwamotivate vijana kuwa China pesa ipo matokeo yake vijna wakamskiliza na wakaanza kufanya Research China wakayagundua machimbo ya nguo na viatu vya bei kitonga wakaanza kwenda wenyewe hata wale aliokuwa anawauzia wakawa wanaufuata mzigo wenyewe huko china mwisho wa siku akaengeneza upinzani mkubwa ambao ni chanzo cha kumfikisha hapo alipo.
Na kulikuwa na kesi nyingi za kushusha nguo zilizochini ya kiwango hakufanya reserch kuwa watu wanataka vitu vyenye quality mwisho wa siku vijana wakamletea upinzani wanaleta jeans zenye viwango wanashusha kkoo hapo kwa bei ile ile akaanza kupoteza soko.
Kwa sasa hapo kariakoo kuna vijana ni Madon vunjabei haingii ndani sema vijana wengi hapo kariakoo ni wasiri na hawana kelele ila wana pesa na wanauza balaa na mzigo wanaubeba china sema wamewin sababu ya kushusha jeans na tshrts kali zenye quality wakishusha utakuta watu wanagombania nusu kuuwana.
Kitu kingine ukijifanya wewe ni Tajiri ndio unawakaribisha TRA wakukamue vizuri kuwa msiri sana hata Diamond platnumz hapa juzi alijitamba anaingiza Mabilioni ndio Tra wakamtembelea kumjulia hali nadhani mliona alivyobanwa kidogo tu namna alivyotoa mluzi kwa kilio kuwa wanataka kumfilisi
Soma Pia: Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika
Wafanya biashara wa kariakoo wana siri sio mchezo,ukiwauliza wanatoa wapi huo mzigo hawatokaa wakupe hiyo siri ila Fredi umbea kujimwambafai na kuwaeleza watu michongo yake ndio ni sababu moja wapo inayo muharibia, kama unabiashara yako kamwe usitoe siri za biashara kwa watu huu uzi utakuja kuupitia tena kuwa msiri na mkimya.
Na kwa kumalizia kabisa kuna watu wanasema jamaa hajafulia ila kaamia kwenye uuzaji wa madawa ila hata huko kwenye pharmacy asipouchunga mdomo wake na kukaa kimya, akiendelea kutoa siri za kambi atawakaribisha wapinzani ambao watamsumbua, Utajiri unahitaji utulivu na ukimya wewe jifanye muongeaji utaonyeshwa....
Uongo Whozu hawezi kumaliza Advance 2007.Hukuona hata video yake akiwa yupo Bwenini shule sijajua ni Olevel au Advance akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platinumz "Nana"??! Sasa Nana ulitoka miaka hiyo ya 2007 au?!. Kama ni kweli kamaliza hapo Galanos fuatilia vizuri miaka aliyomaliza lakini sio 2007.Watu waliomaliza chuo miaka ya 2007 ni kama Zitto Kabww, John Mnyika Etc, sasa je Kina Zitto unataka kusema wamempita darasa moja tu Whozhu?Yule ni kaka yake na Whozu walikuwa wote pale Advance Galanos. Walimaliza 2007 Advance.
Walikuwa marafiki na walianza fahamiana hapo wakitoroka usiku kufuata mademu wa majani Mapana, Nguvumali na kisosora.