Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Vunja bei pia bidhaa zake ilikuwa low quality so mteja akienda mara moja harudi sijui kwanini wafanyabiashara huwa hawajifunzi, pia la jezi ya simba alinichosha ni kijana wa hovyo ambaye hakutumia fursa matokeo akatutesa mashabiki hadi hamu ya kununua jezi ikafq na alikuwa anapandisha hadi laki mbili
 
Hili ndio tatizo la biashara lake nilipita sehemu moja nikawa nasikia dogo mmoja hivi anasema nguo za vunja bei ukifua mara moja tu ujue shughuli imeisha nimepita dukani kwake naona mzunguko wa watu sio kivile kuingia dukani kwake nazani jina bado analo angebadilisha mfumo tu
 
Zitto na mnyika ni wakubwa sana 2007 walishakuwa kitaa kwenye siasa.

Hio 2007 ni kakae whozu anaitwa frank ndie aliesoma na Fred.

Fred amenizidi miaka kidogo tu na Mimi nilimaliza advance 2010
 
Zitto na mnyika ni wakubwa sana 2007 walishakuwa kitaa kwenye siasa.

Hio 2007 ni kakae whozu anaitwa frank ndie aliesoma na Fred.

Fred amenizidi miaka kidogo tu na Mimi nilimaliza advance 2010
Hapana Mnyika sio mkubwa kihivyo. Mnyika ni rika la kina Jokate
 
Fred aache kulala na wanawake ovyo ovyo wanawake wengi wana mikosi


Wengi hujua kufilisiwa na wanawake huja kwa kuwahonga nop wanawake ni sumu by nature ni kutu ilayo baraka kutoka kwa BWANA
Kumekuchaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kariakoo ni cheap sio?
 
Huyu jamaa nilisoma nae Msolwa ''St Gapare Bertoni'' Morogoro.Watu walimcheka alipofungua fremu yake ya kwanza pale survey. Alivyokuja kutoboa na kuanza kumiliki fremu kubwa washkaji wakataka wapewe discount hadi ya laki sita kwa iphone kisa classmate. Kutoboa bongo inabidi uwe na msimamo aisee. Alll in all god bless this guy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…